Maserati usinitanie RUDISHA avatar yanguMimi sikuingizwa mkenge,lakini tulinusurika. Nakumbuka mtaa wa Congo k.koo pale,Mimi na cousin wangu tulikuwa tunatafuta simu,cousin wangu ndie aliekuwa muhitaji. Tukafika sehemu akamkuta teja anauza simu,kumuulizia akasema elfu 40,mi nikaikagua nikaikuta nzima na ni nzuri tu. Nikaishikilia Mimi, nikamwambia cousin mpe ela,akakataa akasema simu yenyewe nzuri nirudishieni mkitaka ongezeni ela,tukamuliza sh ngapi akasema apewe 60 nikaikomalia simu cousin akamuongeza ela,akaona hapa wananiweza akakataa tukachukua ela yetu tukampa simu yake tukasepa.
Ipiii???
Ningemnyang'anya anabaki anatafakari akaibe wapi tenaMimi sikuingizwa mkenge,lakini tulinusurika. Nakumbuka mtaa wa Congo k.koo pale,Mimi na cousin wangu tulikuwa tunatafuta simu,cousin wangu ndie aliekuwa muhitaji. Tukafika sehemu akamkuta teja anauza simu,kumuulizia akasema elfu 40,mi nikaikagua nikaikuta nzima na ni nzuri tu. Nikaishikilia Mimi, nikamwambia cousin mpe ela,akakataa akasema simu yenyewe nzuri nirudishieni mkitaka ongezeni ela,tukamuliza sh ngapi akasema apewe 60 nikaikomalia simu cousin akamuongeza ela,akaona hapa wananiweza akakataa tukachukua ela yetu tukampa simu yake tukasepa.
Ha ha ha ha. Tuliogopa vile tulikuwa wadada tu,at least kungekuwa na mtoto wa kiume miongoni mwetuNingemnyang'anya anabaki anatafakari akaibe wapi tena
Huwa inakuaga hivo,nikajua kwangu tu. Kumbe Hata wengine huwa hivo
Kweli, usalama wenu kwanza ila nimependa mlivyomkomeshaHa ha ha ha. Tuliogopa vile tulikuwa wadada tu,at least kungekuwa na mtoto wa kiume miongoni mwetu
Mama alishatupa risala ndeeefuuuuu. Kwahiyo alivyotuletea ujanja tu na sisi Yukawa wajanja zaidi yakeKweli, usalama wenu kwanza ila nimependa mlivyomkomesha
Kwakweli kuna mazingaombwe aisee, nilikuwa nashangaa na sielewi inakuwaje mtu anatapeliwa na hao watu hadi nilipotapeliwa Mimi.Nimekaa nao sana hao wezi lakn sijawahi kuelewa ni mechanism gan ambayo huwa wanatumia ila nahsi kuna mazingaombwe hapo
Hao jamaaa nawakubari sana wanavyoiba
Huwa nikiwaona wanamuibia mtu nawapa hela ya soda ata buku 5
Hahaaaa!! Msamvu stand usiku saa3 nami nilitapeliwa. Nilinunua kipande cha sabuni kwa sh elfu 10.
Cc Nalendwa
Heaven Sent
Kwakweli kuna mazingaombwe aisee, nilikuwa nashangaa na sielewi inakuwaje mtu anatapeliwa na hao watu hadi nilipotapeliwa Mimi.
Ujasiri mliutolea wapi wakati mlijua kabisa yule ni kibaka? Au ulishawahi kupitia "mashamba ya mbali"Mama alishatupa risala ndeeefuuuuu. Kwahiyo alivyotuletea ujanja tu na sisi Yukawa wajanja zaidi yake