Kama ulitumia hii vaa barakoa muda wote,jisanitaizi kila wakati,sali na hakikisha unachanja

kwani umri mkubwa kuanzia miaka mingapi na kuitwa kijana mwisho miaka mingapi
 
Mimi nilitumia tena nilichukua mkopo wa elfu 90 nikainunua Aisee!vocha zilikuwa zinajulikana kama dollar na zilikuwa zinauzwa elfu tano!!! Tulikuwa tunatumia meseji zaidi ambapo meseji 1 ilijatwa sh 60.Salamu yetu nyingine zilikuwa Ku beep yani MTU akikubeep ukiona jina unajua kabisa kuwa Fulani ananisalimia.....NIMECHANJWA MKUU.!!!!!
Na wengi wa watu walikua wakisema nimekudipu sio beep
 
Back
Top Bottom