Kama ulikuwa hujui

Fanya mazabe kwa pose kama toto unataka
Pima fikra zao kama havipandi we kula chaka
Watu gado kama Zay B (wa visado)

Mikoko imetanda huku mabenz kule maprado
We ruka mkwanja now, here we go (here we go)
Ee bwana eh muda bado unaruhusu
 
Naomba unisaidie angalau elfu 20 niweze kupata maji baridi
 
Hii sio kweli. Ingekuwa hivyo watu wasingeendelea kusoma above 40 years. Usijifariji waliofanikiwa huendelea kuwa tofauti hata baada ya miaka 60+.
 
Mzee kikwete kastafu ,ulishawahi kukaa nae msikitini kupiga story ?

Tafuta pesa kijana ,hata ukiziieka Kuna kijiwe cha wazee wenye pesa na wasio na pesa ..

Anakaa na wazee wa rika lake, ndo maana karudi Msoga huku mjini hana marafiki…. kama unajua maana ya marafiki.
 
Mtakuwa sawa ila mwenye pesa alifurahiya maisha zaidi. USO wake unakuwa unateleza na kung'aa.
 
Kama ulikua hujui tafuta pesa acha kujipa moyo hakuna usawa kati ya mwenye pesa na asiye na pesa
 
Sisi masikini tuna maneno ya kufarijiana sana.

Tutafuteni pesa kadri tuwezavyo, tukifika miaka 60 tusikae vijiweni, huo ndiyo umri muafaka wa kutumia ulichozalisha ujanani kwako, vacations kama zote, ni kula flights to tena VIP class, off to Ibiza. Dubai
 
Ulianza hovyo ila umemalizia vizuri....binadam tuheshimiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…