Kidali po! Hicho
Wengine mabushoke kupigwa ni hobby yao
Jamaa atakua ameamka na amegoma kuosha viombo na usafi kwa ujumla dah pole zake
Hii ndio dawa ya wanaume jeuri laiti ningekuwa kama huyo ningewakunja
Hahaaaa unaogopa kupigwa,wanasema haki sawa tena mmewasidia kutunga sheriaUjinga huu sifanyiwi hata maramoja nini maana ya kuwa kichwa na kiongozi wa familia sasa