Sasa huyu chadogi ni me au ke?
Sasa huyu chadogi ni me au ke?
Sasa huyu chadogi ni me au ke?
Kifyatu furaha yangu kukuona tena jukwaani ulipotelea wapi?Eeeh! Hapa utata mkubwa tu. Lakini nafikiri huyu ni ME.
Hiyo car-wash huko juu nafikiri me au ke anaweza kuvaa. Lakini hiyo putaa (jeans) hapo chini kama angekuwa ke ingekuwa fupi sana. Mselembwete huo ni wa me tu.
Kwa vyovyote vile, sio kufua tu vizuri bali, TUMBA lolote "jipya" lazima lichemshwe kwanza.
Habari za siku mshana jr
Wanamfunda mambo yao yaleee ya 'haki za binadamu'
Sasa huyu chadogi ni me au ke?
Kifyatu furaha yangu kukuona tena jukwaani ulipotelea wapi?