Kama uchaguzi ungefanyika leo, Lowassa angeshinda kwa kishindo

Wote mnaolalama mlikuwa wapiga dili, sasa limezibwa, kelele kibao.
Na wanafunzi zaidi ya elfu sitini waliokosa mikopo walikuwa wapiga dili? Na wafanyakazi ambao nyongeza zimegandishwa, maelfu ya wahitimu kukosa ajira, watalii kuikimbia nchi na kusababisha mtafaruku wa nchi kupoteza biashara kwa Wenzetu na wish Hoteli zetu kugeuzwa matumizi kuwaachia Hosteli, maelfu wakiachishwa kazi nazo ni dili?
Ni vizuri kuushirikisha ubongo kabla ya kuposti maoni.
 
Twaweza: Asilimia 96 wanamkubali Rais Magufuli

Forbes Africa: Asilimia 84 ya Watu wote Barani Afrika wanataka Magufuli awe Person of the Year 2016

Jiongoze mwenyewe huyo Lowasa wako angechaguliwa na nani?
Twaweza?!!! Forbes anashindanishwa na rais gani?
 
Sina hakika kabisa na hilo labda kama wapiga kura wakiwa ni watumishi pekee.ni maon yangu lakini
 
Vipi unaota au unaongea na nani?
 
Yaani bucha tuwachie Mafisi? mleta mada waombe watanzania radhi.
 


Ndio mkome mlikuwa mmezoea kula vya bure, kupiga ndio ilikuwa maisha . Misheni town nyiiiiingi.

Mtu hana kazi lakini kila kiamka jioni ana laki na usheh.

Saivi ni lazima ujitume ndio upate ngawira
 
kile chama cha bwana yule kinachotumia jezi za yanga noma sana,sitakaa niwakubali kwenye sanduku la kura,no matter what,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…