Kama tunaipenda sana demokrasia ya kimarekani kwanini haturuhusu ushoga??

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,965
2,141
Imezuka sana tabia moja siku za karibuni ambayo naweza kusema haipo sawia na mila na desturi zetu za kitanzania. Watu wameona kwamba inafaa kuitumia demokrasia kudhalilisha au kuonyesha kwamba kiti cha uraisi si mali kitu.

Ukifuatilia majadiliano mengi utaona wengi wanasema mbona Marekani wanafanya hivi au vile. Kwa hiyo wao tayari Marekani ndo mfano wa kuigwa. Unakuta mtu anatoa mfano wa sanamu ya Trump aliyo uchi anasema kwamba ikitokea Tanzania mtu atafungwa. Kwa hiyo kwa maneno mengine tafsiri yake ni kwamba Tanzania hakuna haki sababu huwezi fanya kitu kama hicho. Hii inamaanisha kufanya hivyo kulitakiwa kuwe sawa tu hata kwa Tanzania. Sasa hoja yangu mimi ni hii.

Kama kweli mnajifanya mnapenda sana vya Marekani, mnaonaje na ushoga nao ukihalalishwaa? Ukisoma comments nyingi kuhusu suala la ushoga ndo utajua unafiki wa watanzania. Ukiachilia ushoga, mfano suala la ukahaba, mtu akienda open kwenye media akasema yeye ni kahaba atatukanwa matusi mengi sana na watu mbali mbali lakini cha kustaajabisha ni kwamba hao makahaba wananunuliwa na nani?

Ukisikia hoja nyingi sana zinajikita eti maadili ya kitanzania? Kwenye demokrasia tunayoilia tunapaswa kujua pia inapaswa kumpa mtu uhuru wa, na haki ya, kuwa shoga au kahaba. Kwa maana tunadai demokrasia katika yale yanayotupendeza tu machoni na hii naiita si sawa. Huoni kuwakataa mashoga ni kukiuka demokrasia maana mtu anakuwa hana uhuru.

Haba utasikia kelele za kinafiki za maadili ya kitanzania. Lakini je kumtukana Rais ambayo baba yako huoni kwamba ni kinyume cha hayo maadili ya kitanzania? Eti kigezo kikubwa ni kumkosoa. Nikiuliza ni wangapi ambao wakiwa nyumbani kwao watoto au wake zao wakasema wanawashauri kwa kuwakejeli hivi huko ndani kutakalika kweli? Mfano mkeo anakushauri jenga nyumba lakini in the process ya kukushauri anatumia maneno ya kejeli kama wewe mwanaume uchwara au mwanaume suruali au katika wanaume na wewe umo? Halafu mwisho ndo anasema ujenge nyumba. Je katika hali ya kawaida utaupokea huo ushauri? Kitakachofata wengine mnajua hasa kama mwanaume anatoka kule kanda ya ziwa mpakani na Kenya teh teh teh

Kama kweli tunataka demokrasia basi turuhusu kila kitu maana ndo mnachokitaka kwamba mtu atokane Rais, asiheshimu mamlaka na pia mtu ajichagulie orientation yake ya kijinsia mwenye kama LGBT badala ya kuwa na only men and women .

Mwalimu Nyerere alishasema kwamba huwezi ukaleta demokrasia kama formula ya coca-cola. Lazima uifanyie adjustment iendane na mazingira muafaka wa eneo wanalotaka demokrasia. Kuna ssumptions nyingi sana zinatakiwa zifikiwe ili mazingira ya kuwa na demokrasia mnayotaka yawepo bila ya hivyo itakuwa ni vurugu tu. Mfano nchi za kiarabu inaonekana kwamba demokrasia haifanyi kazi kama wamarekani wanavyotaka. Yale ni mazingira tofauti kabisa.

Unapotaka kupeleka western democracy maneneo yale unaenda tu kuanzisha vurugu. Tumeona Libya na Irag hazijatulia mpaka sasa. Na syria pia. Ninachotaka kusema mimi ni kwamba kuna majukumu yanakuja na hiyo misimamo ya demokrasia ya kimagharibi na mkitaka kukubaliana nao muwe tayari kuua mila na desturi zenu zote ili kukumbatia hiyo demokrasia. Je mpo tayari kuipenda demokrasia na kimagharibi pamoja na makando kando yote?

Karibuni.
 
Freelancer ukiniambia tofauti baina ya DEMOKRASIA na UTAMADUNI, MILA NA DESTURI, nipo tayari nirudu tuendelee na mjadala! Kama hujui tifauti yake, sorry; sitakuwa na muda mchafu!
 
Na mimi sina muda mchafu wa kukufafanulia wewe...Pita kimya kimya kwani we ndo nani moka nihangaike na wewe ...
 
Aaalah umekwama hata kabla hatujaanza?! Umeuliza swali, nataka nikujibu lakini kwanza tupeane terms of reference, tayari umeshajaa upepo?
 
Demokrasia ni uhuru wa kujiexpress vile unapenda bila kuvunja haki za mwingine. Sasa mtu akiwa shoga kwanini tunampiga vitu wakati kwa misingi ya kidemokrasia mtu kuji express kama shoga nayo ni sehemu yake??
 
Aaalah umekwama hata kabla hatujaanza?! Umeuliza swali, nataka nikujibu lakini kwanza tupeane terms of reference, tayari umeshajaa upepo?
Wewe tembea katafute bwana achana na mimi...
 
Umetumwa wewe kutuharibia utamaduni wetu eeh?
Nataka tuijadili dhana nzima ya demokrasia na kama tupo tayari kuileta kama ilivyo kutoka Marekani maana watun wote mifano yao ni mbona wamarekani wanafanya hivi kwa maana wanahususudu ya wamarekani. Sasa inakuja suala la view nzima ya demkrasia na haki ya kuwa shoga. Marekani mtu ana haki ya kuwa shogha. Tanzania ushoga ingawa haujakatazwa kisheria lakini jamii haiukubali ushoga. Sasa inakuwaje tunaipenda demokrasia ya kimarekani lakini tunayaogopa makando kando yake?
 
Kwanza huo utamaduni wetu ni upi? maana tunaimba tu hii nyimbo lakini sijui kama kweli tunautamaduni wetu.
 
shkamoo mtoa post umegusa hataree
nashangaa kwan mtu kuwa shoga kuna tatizo gan coz yale mambo ni personal yaan ya mtu binafsi
haki za binadam ziheshimiwe jama
nakusapot kwa asilimia 100 mtoa post
ur right kbssssssss
 
Ndo hapo mkuu....utata unapoanzia. Inaonekana utamaduni ipo contrained katika vitu watu vinavyowapendeza machoni kwa hiyo wnaachopenda wao ndo wanataka kiwe..
 
Wewe tembea katafute bwana achana na mimi...

Teh teh teh! Nilijua tu watu wengine vichwa panzi mnageuza kupost post vitu hapa hobby! Utakufa kihoro.
Kama una short fuse (hasira mlipuko); huna intellectual composure (utulivu wakisomi); hujajiandaa kwa high octane banter (mijada mikali) na huna database kubwa (facts za kutosha); man kaa mbali na majamvi haya! They are not meant for the faint hearted and light minded folks like you dude!!! Pole.
 
shkamoo mtoa post umegusa hataree
nashangaa kwan mtu kuwa shoga kuna tatizo gan coz yale mambo ni personal yaan ya mtu binafsi
haki za binadam ziheshimiwe jama
nakusapot kwa asilimia 100 mtoa post
ur right kbssssssss

Wewe ulishaonekana humu kuwa ni Punga, hivyo kutetea huu uchafu hatushangai.

Jamiiforums imevamiwa.
 
Back
Top Bottom