Kama Tanzania, Kanisa Katoliki liliuonya sana utawala wa Maduro Venezuela lakini walikaza vichwa! Sikio la kufa kama Malawi!

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
304
Reaction score
543
Maduro ni kama vile ana undugu na Samia, maana tunapita mulemule. Ni kama Mungu anatonyesha ya mbele na kututaka tuchukue hatua haraka ili tusije kuharibikiwa kama wao.

Wananchi kuanza kumwomba Trump aje avamie Tanzania sio ishara nzuri, yaani wamechoka kiasi cha kutaka "Shetani" aingilie kati kuwaokoa! Wamechoka kiasi kwamba hata hawajali tena nini kitatokea mradi tu Samia atoke, hii ni hatari kubwa! Usalama wa Taifa mpo tu mnaangalia vile kunavyowaka kama zimamoto wameishiwa maji!

=======

Vatican amoja na Baraza la Maaskofu wa Venezuela, kwa kurudia mara kadhaa, wamepaza sauti zao kupinga uvunjifu wa haki za binadamu chini ya utawala wa Nicolás Maduro, wakihimiza kuheshimiwa kwa katiba, mamlaka ya kitaifa, na kukomeshwa kwa ghasia na ukandamizaji.

Maaskofu wa Venezuela walitoa ujumbe wa mshikamano na kutoa wito wa "kuheshimiwa kwa haki za binadamu na za kiraia," wakipinga aina yoyote ya ghasia na kuwasihi wadau wa kisiasa kuhakikisha uhuru wa kutoa maoni na fikra.

Kadinali Pietro Parolin, Katibu wa Serikali ya Vatican, huko nyuma alilaani kuwepo kwa "magereza yasiyo ya haki" na watu "wanaokandamizwa" nchini Venezuela, ukosoaji wa wazi dhidi ya hatua za utawala wa Maduro.

Mashaka ya Muda Mrefu

Kanisa Katoliki nchini Venezuela lina historia ya kukosoa rekodi ya serikali ya Maduro kuhusu haki za binadamu na mienendo yake ya kisiasa:
  • Baraza la Maaskofu wa Venezuela limekuwa likisisitiza kuwa kupuuza mamlaka ya wananchi kupitia uchakachuaji wa kura "hakukubaliki kimaadili."
  • Kadinali Baltazar Porras, Askofu Mkuu Mstaafu wa Caracas, amekuwa sauti mashuhuri katika kukosoa hali hiyo, jambo lililosababisha mahusiano ya kutoaminiana na utawala huo.
Wataalamu wanabainisha kuwa Kanisa la huko lazima lifanye kazi ya ziada ya kusawazisha mambo; lipaze sauti yake ya kimaadili kuhusu haki za binadamu huku likiepuka kuuchochea utawala huo kuanza kuwalenga viongozi wa dini. Huu ni mtihani mgumu wa kidiplomasia ikizingatiwa kuwa Kanisa ni moja kati ya taasisi chache zenye uhalali na ushawishi mkubwa kwa jamii.
 
Moja ya misingi ya Kanisa katoloki ni himiza haki za binadamu. Bila kufanya hivyo kanisa halipo. Linafanya hivyo popote lilipo Dunia nzima hata USA kwenyewe.
 
Back
Top Bottom