MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 708
Title states openly...........
Mimi ,wewe, yule na waleee sote TUMEFELI.
Mwl. J.K. Nyerere alinukuliwa alisema taifa ni watu, ardhi na utawala Bora.
Mimi na wewe kama segment muhimu ktk taifa TUMEFELI PAKUBWA.
Nchi hiii hiii hiii ambao Mimi na wewe tumerithishwa na wazee wetu ambao hawakuwa na chembe ya uroho wa mali Wala madaraka, Leo hii Mimi na wewe tumekuwa waroho wa madaraka na matapeli Ili kujimilikisha utajiri huku tukiwanyanyasa wengine.
Mfano: Lissu gerezani anafanya nini? na Ili iweje??
Mimi na wewe TUMEFELI PAKUBWA .... Lissu niuhaini🙃🙃🙃
Oyaaaaaa embu tuache masiala na maisha ya watu.
Lissu afanye uhaini Ili afaidike na nini?
Someone please answer my questions?
Mtu aliokoka kuniumiza ktk jaribio lililo lenga kuondoa uhai wake, by the way mtu mmoja aliye nje ya mfumo wa Dora anawezaje kupanga njama za kumpindua raisi?
Sijasomea Sheria na siitaji kumshauri mtu kusomea ujinga huooooo...
Simple facts tuuu, Lissu ni kiumbe tena aliyezaliwa kama mimi na wewe, ten mwenye mawazo yake binafsi na maono yake, why aishie gerezani Ili hali mie na wewe tupo tunakula upepo huku tukitambua mashtaka dhidi ya Lissu ni uongo!!!!!!
Come on my country people tukatae hiii ujinga.....
Kina January, Nape na wengine tuliwahi kusikia walitaka kujitengenezea namna ya kuingia ikulu kinyume na utaratibu wa chama. Na sasa tunaona mfumo huu ulivyo wafyekelea mbalii... Mbona wao hawajaitwa WAHAINIIII.......
Hivi asiye jua uchu wa FEBRUARY kwenye madaraka ni naniiiiiii........ Lakin yupo na anakula mahela yake aloyachuma wakati akiwa waziri wa nishati baadae foreign affairs.
Je ulishawahi kusikia tetesi za KUTAKA kushtakiwa kwa mipango yake ilobuma?
Kama taifa TUMEFELI tena TUMEFELI PAKUBWA.
Lissu pekee hawezi kuwa MUHAINI Ili hali yupo nje ya mfumo. Hawamu hii ikitaka kujua wabaya wake ni hao hao kijana na mnjano wenzao. Lissu is very innocent, embu wamuachie pasipo masharti yoyote.
Bila Lissu uchaguzi 2025 ni upuuzi mtupu.
Naondoka .................................