Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Chadema ni kikundi cha panyaroad yafaa kiondolewe sifa za kufanya shughuli za kisiasa nchini, ushahidi upo kwenye post zao mitandaoni kwa kweli mpaka unajiuliza hivi Hawa watu wanaakili kweli? Ni WA Tanzania kweli? Yafaa wadhibitiwe vikali.
Kama Taifa Hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote chadema, hatutakiwi kuwapa nafasi hata ya kufanya mijadala ya kisiasa tu, hiki chama ni kikundi cha panyaroad kwasababu
Kama Taifa Hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote chadema, hatutakiwi kuwapa nafasi hata ya kufanya mijadala ya kisiasa tu, hiki chama ni kikundi cha panyaroad kwasababu
- chadema ni waratibu wakuu wa vurugu nchini
- chadema ni wapotoshaji wakuu nchini
- chadema ni chama kinachotumiwa na mabeberu nchini
- chadema kimejaa watukanaji mitandaoni.