Ulitaka wasiendelee kuwa hewani hata kama wamefanikiwa kulipa?Ni mbinu fulani ya kimafia kuwapata unaowataka huku ukiupambaza umma kwa kuanzisha kampeni fulani, ambayo huanza kwa mbwembwe nyingi na mwishoni wakishapatikana watarajiwa mambo huisha kimyakimya
Tumeyaona haya kwenye vita ya madawa ya kulevya(madaraka ya kulevya) nchi ikazizima ikawa ni kampeni ya safisha nchi/dar, wakakamatwa wa kukamatwa, tukaletewa na wahanga (watoto wadogo) wakatoa ushahidi kisha mambo yakaisha kimyakimya....
Limekuja hili la kodi, ambalo ni faraja ya wengi, tumechoka kuwa ombaomba wakati tuna kila kitu na wachache wanafaidi kwa kutolipa kodi, tunahitaji kodi ili kupeleka maendeleo ya nchi mbele, hospital ziwe na madawa na vifaa tiba, shuleni kukamilike, miundombinu iwe bora nk... Tunahitaji pesa
Kufungiwa kwa Star TV ni kielelezo tosha kwamba hii vita haina macho ya makengeza... Walikuwa wanadaiwa BILLION NNE na ushee, kisha wakaja mabepari wa madini wakapigiwa mahesabu yaliyozua mijadala dunia nzima.... TRILLION 425 hivi..... Hawa ni wezi bila kujali wana bei gani kibindoni! Walipe walichotuibia ili iwe fundisho kwa wengine.....
Masikitiko yangu!
Je kodi iliyokwepwa kuiba ina mazungumzo? Kwamba kama ukikubali kosa basi upunguziwe ama usamehewe? Je star TV wamelipa ama wamepunguziwa au wamesamehewa? Kama wamelipa wamelipa bei gani? Kupitia akaunti gani? Kama kwa Star TV imekuwa hivi kwa ACACIA haiwezi kutokea?
KILINGE leo kikavu hakuna wateja hakuna kabisa nakuja mjini kubangaiza chenchi za kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikimbilie kujibu someni muelewe kabla ya kujibuUlitaka wasiendelee kuwa hewani hata kama wamefanikiwa kulipa?
Ndiyo mana akajiita jinga
OK, ndo maana ukaweka uzi eeh
Jina husadifu kilicho ndani ya kichwa cha mtu...Hilo jamaa ni Jingalao kweliNdiyo mana akajiita jinga
Ni mbinu fulani ya kimafia kuwapata unaowataka huku ukiupambaza umma kwa kuanzisha kampeni fulani, ambayo huanza kwa mbwembwe nyingi na mwishoni wakishapatikana watarajiwa mambo huisha kimyakimya
Tumeyaona haya kwenye vita ya madawa ya kulevya(madaraka ya kulevya) nchi ikazizima ikawa ni kampeni ya safisha nchi/dar, wakakamatwa wa kukamatwa, tukaletewa na wahanga (watoto wadogo) wakatoa ushahidi kisha mambo yakaisha kimyakimya....
Limekuja hili la kodi, ambalo ni faraja ya wengi, tumechoka kuwa ombaomba wakati tuna kila kitu na wachache wanafaidi kwa kutolipa kodi, tunahitaji kodi ili kupeleka maendeleo ya nchi mbele, hospital ziwe na madawa na vifaa tiba, shuleni kukamilike, miundombinu iwe bora nk... Tunahitaji pesa
Kufungiwa kwa Star TV ni kielelezo tosha kwamba hii vita haina macho ya makengeza... Walikuwa wanadaiwa BILLION NNE na ushee, kisha wakaja mabepari wa madini wakapigiwa mahesabu yaliyozua mijadala dunia nzima.... TRILLION 425 hivi..... Hawa ni wezi bila kujali wana bei gani kibindoni! Walipe walichotuibia ili iwe fundisho kwa wengine.....
Masikitiko yangu!
Je kodi iliyokwepwa kuiba ina mazungumzo? Kwamba kama ukikubali kosa basi upunguziwe ama usamehewe? Je star TV wamelipa ama wamepunguziwa au wamesamehewa? Kama wamelipa wamelipa bei gani? Kupitia akaunti gani? Kama kwa Star TV imekuwa hivi kwa ACACIA haiwezi kutokea?
KILINGE leo kikavu hakuna wateja hakuna kabisa nakuja mjini kubangaiza chenchi za kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huwa TRA wakimfungia mtu, ama kampuni hutangaza siku wanayomfungulia kwamba wamelipwa kiasi gani!Sikumbuki ni lini TRA walitangaza kuifungia startv, walifanya hivyo kimya kimya ninyi ndio mkaja kutuhabarisha humu!Tuwaache wataalamu wasiingizwe kwenye kutafuta kiki za kisiasaNi mbinu fulani ya kimafia kuwapata unaowataka huku ukiupambaza umma kwa kuanzisha kampeni fulani, ambayo huanza kwa mbwembwe nyingi na mwishoni wakishapatikana watarajiwa mambo huisha kimyakimya