Kama si miujiza! Basi ni nini?

Kama si miujiza! Basi ni nini?

Au ukila ukashiba uzito haizidi? Mana ingekua mtu kala chakula cha kg 2 mathalan. Halafu uzito ule akauhisi basi ingekua kazi, mana matumbo yangekua maziiiitooo
 
Au ukila ukashiba uzito haizidi? Mana ingekua mtu kala chakula cha kg 2 mathalan. Halafu uzito ule akauhisi basi ingekua kazi, mana matumbo yangekua maziiiitooo

Angel Nylon ! Mbona still mnanizebeza majibu sijaona hata moja!
Ndy kusema Jf hii habari itaondoka kama ilivyokuja.
 
Last edited by a moderator:
Shangazo hapa ni swali kuonekana kama la kitoto, lakini mijitu mizima ya cc ina'boil! Mtiririko wa Uzi hakuna aliyethubutu jibu! Afu hivi Li- Judgement as knows as "Ze la hukumu" Alleged " YNNAH hazband" sometimes "Baba yeyoo" Alale peke yake?
Inayumkini ?
Ntake razi .
Haitakaa itokee Judgement kulala alone...we nani kasema na mie niko wapi wakati huo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom