nimehudhulia sherehe moja ya kiserikali hapa kinondoni,ila chaajabu hakuma hata vinywaji,pia wahudumu hawaji,japo nimevaa suti nyeupe lakini hawanifuati. looo, sitaki mualiko tena.
mwaka umeuanza vibayanimehudhulia sherehe moja ya kiserikali hapa kinondoni,ila chaajabu hakuma hata vinywaji,pia wahudumu hawaji,japo nimevaa suti nyeupe lakini hawanifuati. looo, sitaki mualiko tena.