Ama kwa hakika, matukio ambayo yameanza kutokea katika Taifa hili miaka kadhaa iliyopita hadi sasa, yamebadilisha na yanaendelea kubalisha sura yetu ndani na nJe ya mipaka yetu.
Tanzania ya leo imekuwa ni moja nchi za kutolewa mifano kwa Utekwaji wa watu, Kuumizwa watu kikatili, Watu kupotezwa na hata Watu kuuawa kikatili.
Sisemi hatuna vyombo mahiri vya kushughulikia matukio haya haramu, La hasha, Ila kushindwa pia kumo licha ya umahiri wa mtu au chombo.
Toka zile enzi za kina Ulimboka, Wangwe, Mawazo, Kibanda, Saanane, Lissu, kutekwa watoto wa watu fulani fulani, Maiti kukutwa kwenye viroba na hata leo hii, Ndg Dewji, ni wazi kuwa Polisi na wanausalama makachero wetu, wameshindwa!!
Ndio kusema kama kweli serikali ina nia njema na watu wake bila kujali tofauti zao, basi iruhusu uchunguzi binafsi ili tusisubiri kufika kwenye level mbaya zaidi!