Nimejikuta nikiwaza ghafla ingekuaje kama Rais Magufuli ndio angekuwa rais wa awamu ya nne halafu sasa ndio tuwe tuko na mzee wa Musoga ambae kuna members humu waliwahi kumuita Vasco da Gama.