Kama Rais Magufuli angemtangulia Jakaya Kikwete

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,023
16,480
Nimejikuta nikiwaza ghafla ingekuaje kama Rais Magufuli ndio angekuwa rais wa awamu ya nne halafu sasa ndio tuwe tuko na mzee wa Musoga ambae kuna members humu waliwahi kumuita Vasco da Gama.
 
Nimejikuta nikiwaza ghafla ingekuaje kama Rais Magufuli ndio angekuwa rais wa awamu ya nne halafu sasa ndio tuwe tuko na mzee wa Musoga ambae kuna members humu waliwahi kumuita Vasco da Gama.

Tumuombe na tumuombee awanie nafasi hiyo awamu ya sita tuone itakuwaje. Katiba za serikali na za chama si vinaruhusu?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom