TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
1)Mkuu wa Mkoa anavamia Kituo cha TV kwa silaha kupora Flush na kuwatisha atawasingizia atawasingizia ni Wauza Madawa, Anaonekana Wazi Kwenye Rec. za CCTV, Rais anajitokeza na Kumwambia ati Apige kazi huku akimfukuza Waziri wa Habari aliyelaani Tukio Lile!
2) Waziri wa Habari anaondolewa anataka Kukutana na Wanahabari Kuagana nao, Waliokuwa na Gari zenye usajili za State wanatoka na Kumtisha kwa Bastola bila hata kujitambulisha, Rais hata tu kulaani yeye Kimnya!
3) Anajiuzulu Mwenyekiti wa CUF kwa hiyari yake. Miezi minane baadaye anataka kurudi sio tu kurudi kama mwanachama, Bali ati arudi kama Mwenyekiti, anakataliwa, Lakini rais anamsaidia kuingia katika ofisi kwa jinai kwa kuvunja Geti huku alilidwa na Askari. Huyu huyu anapewa Ruzuku ya chama, huyu huyu anaruhusiwa kufanya Mikutano ya hadhara na maandamano huku akilindwa na Polisi wakati Wengine kusalimia tu wanakatazwa! Anaonekana naye kila Sherehe muhimu! eg Uhuru.
Je Rais wa Namna hii yuko sawa kweli? Sio Mhuni? Na haya yangelifanywa eg Mteule wa Rais wa Marekani avamie CCN kesho yake Rais akamwambia wewe Piga kazi. Nini kingetokea
Je ingekuwa ni Mteule wa Angela avamie DW? Angela amwambie Piga kazi?
Au Uingereza avamie BBC au Routers aambiewe piga Kazi? Africa kuna shida Gani hasa? Mmelogwa?
Watanzania Mnaomtetea Magufuli mna laana au mmelogwa sio bure