muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Hahahaaaaaa muuza ubuyu hapo kwawachaga NDIO kuzuri miss chagga ukuje BASI hapa uone Shepu yako ilivyo!
wachaga ndiyo nipo
Mnyakyusa na mchaga ni balaa shape kama mabaunsa?
Umeona Shepu yako ilivyo?
Ndiyo nimeiona
Uwa mnainua vyuma tangu utoto mpk ukubwani kutengeneza shepu za hivyo?
mbona wasukuma hatupo....
Hahahaaaaaa nafuu yetu sisi wasukuma!
Waooooo!Watoto wakisukuma Mungu hakutunyima neema zake katika hilo swala
Eti, unasemaje?Ndiyo alafu papuchi zetu sasa ni tamu sana acha kabisa