Kama nyie mnaroga na sie tunaroga vilevile

Kama nyie mnaroga na sie tunaroga vilevile

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,759
Reaction score
870,542
No more ...No less..!!! Tit for tat is a fair game...!!!!
Mna chama tuna chama
Mna mgombea tuna mgombea
Mna wanachama tuna wanachama
Mna majeshi tuna wananchi
Mna Masheikh tunao pia
Mna maaskofu tunao pia..

Mna wachawi 900 tuna 2700
Mnaroga saa nane usiku ..tunaroga saa sita kamili...tumewatangulia...hakuna awali mbovu, kilinge chenyu cha manabii bandia ni kusanyiko la maroho...yanapingana kinguvu yenyewe kwa yenyewe bila nyie kujua. Mna wasanii 200, tuna umati wa freestyle...popote tulipo wapo...hatuwabebi na motokari wala maksai...!!! Hatuwapi senti tano ...NI MAHABA TU!

Ukiroga saa nane usiku hutafanikiwa asilani
Huo ni muda wa mapepo
Huo ni muda wa ziraili...(mtakufa wima vilingeni shauri yenyu)
Huo ni muda wa wanga ...
Roga sita usiku siku mpya inapoanza...Roga alfajiri mwanga unapopokea kijiti cha kiza...kuna ahueni...kuna mafanikio.

Kama uliweza kuruka KICHULA lakini sasa huwezi kuchechema kiduku huoni hao walozi wako wanakutapeli tuu...huku mlozi kule nabii...
TANGU LINI MWANGA UKACHANGAMANA NA GIZA? Allah hakuwa mjinga kuvitenga hivi viwili....!!!

Motokari bila pepeo utaleta hasara kubwa ...lakini pepeo linahitaji maji ...SIO LAZIMA UELEWE kila kitu...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji1536][emoji818][emoji617][emoji777]
 
IMG-20201021-WA0035.jpg
 
Mkuu ungana nasi kuomba siku saba kuanzia leo.

Kauli mbiu
#vunja ccm vipande vipande, gonganisha nec, ccm na polisi#

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mimi mkuu Glenn idara yangu inajulikana wazi na ilianza kazi rasmi Mosi ya January 2020...sasa hivi ni kama tunafanya finishing tuu...!!!!
 
Ooooh God , this is too sad ,Tanzania is bleeding !!!!!! Because of dictators who are merciless to citizens , But we are very strong with the power of the Lord,
#We shall overcome these bloody regimes .[emoji24][emoji24]
We shall overcome...[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777]
 
Hakika Mabadiliko yatakuja, RAIA washachoka sana na uzuri siku hizi wanaelewa pia. Ahsante kwa teknolojia - mitandao ya kijamii kuhusika.
 
Wameishajua mgonjwa wao anashindwa vibaya. Ni aibu tupu.
Silaha pekee waliyobaki nayo ni kuiba kura. Machafuko yaja
 
Back
Top Bottom