Kama noma na iwe noma... Tunaumizana kwanini?

Kama noma na iwe noma... Tunaumizana kwanini?

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
yaani leo nina hasira kishenzi... unajua nimechukia hadi najichukia. na kama ningekuwa na uwezo wa kumakata mmoja ningempa kichapo chenye kichapo.. na ningekuwa na uwezo wa kutukana, ningewatukana matusi yenye matusi..
maana nimekasirika sana. nahisi nikajifunze matusi ya kitusi yenye matusi ili niwatusi kitusi hadi watusike.. MMENIPATA?

1. Ni kweli polisi hawawajui wauza madawa ya kulevya hapa Tz?
kama hawawajui naomba leo waende pale kinondoni manyanya wakawakamate wale mateja wawaulize
wanapata wapi unga wanao bwia? kisha wawakamate. Madawa ya kulevya Noma sana.. jamaa
wanaharibika sana wale. fikiria teja akiwa ndg yako.

2. Nani wahusika wa kufoji vyeti..
mwaka jana wakati wa majaribio ya kitambulisho cha taifa ilibainika polisi zaidi ya 120 walibainika
wamefoji vyeti..
Sasa kama wanausalama wamefoji vyeti nani atamkamata mhalifu?
 
Hii post inatafuta nini kwenye jukwaa la mahusiano na mapenzi? Umezungumza kwa uchungu juu ya suala la madawa ya kulevya lakini endapo mkuu wa nchi naye analalamika nani achukue hatua sasa? Hata polisi hawawezi kwani in a way nao wanafaidi na huo mchezo mchafu wa kuharibu nguvu kazi ya taifa. Polisi wako busy kuithibiti Chadema tu basi.

Tuandike tumeumia tu ndugu yangu.

Tiba
 

maana nimekasirika sana. nahisi nikajifunze matusi ya kitusi yenye matusi ili niwatusi kitusi hadi watusike.. MMENIPATA?

QUOTE]

hapo tu mie hoi.....

mods waimuvuzishe lile jukwaa la siasa itajadiliwa
kwa mapana zaidi
 
Uko sahii kuwa na munkari lakini in a wrong place
 
Leo una hasira sana?
kwa mambo ambayo yapo kila siku?
seriously?
mshahara umechelewa?
 
mamluki ..apa si sehemu yako lakin umeongea ukweli na kitu cha maana sana.
wanaoingiza madawa ni vigogo hakuna masikin wa kuingiza madawa ya billion 20.
kuna watu uwa awakaguliwi uwanja wa ndege.
 
Back
Top Bottom