Kama ningekuwa Rais

Kama ningekuwa Rais

mixer au dry

Member
Joined
Sep 25, 2019
Posts
66
Reaction score
56
Kama ningekuwa President ningepiga marufuku TUMBAKU na ningeruhusu BANGI kwa sababu nishaona vifo vinavyosababishwa na TUMBAKU ila sijaona Vifo vinavyosababishwa na BANGI.

Ni mtazamo tu.
 
Bangi katika ubora wake! siku ya kwanza kuvuta bangi na mm niliwaza kama wewe!
 
Kama ningekuwa President ningepiga marufuku TUMBAKU na ningeruhusu BANGI kwa sababu nishaona vifo vinavyosababishwa na TUMBAKU ila sijaona Vifo vinavyosababishwa na BANGI.

Ni mtazamo tu.
Umeandika uzi huu baada ya kubugia bange
 
Tofauti kati ya:

DRY
Inapanda fasta kichwani pia inaisha fasta
Inaleta apetite ya msosi,kujiskia kula kula
Inaleta njaa..Ukinywa maji inakata fasta..
Harufu ya mmea inabaki mwilini/vidoleni na kwenye nguo

MIXER
Inapanda mdogo mdogo ila inakaa muda mrefu kichwani inachelewa kuisha..
Kichwa kinatulia,umakini na concetration
Vinaongezeka
Harufu ya mmea inamezwa na Kali ya kwenye mixer
Ukishushia na Ubalozi/Embasy utamu unafika hadi kisogoni

All in all hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu kazini ila sasa ni mtumishi mstaafu
#KayaForLife
#LegaliseIt
 
🚭BORA BANGI KULIKO SIGARA. KWANZA KIUCHUMI BANGI INALIPA ILE MBAYAA.. ALAFU NI DAWAYA KUSAIDIA UPATE APETITE YA KULA. VILE VILE UNAKUA MAKINI ZAIDI KIKAZI.
 
ETI KITU IMEANDIKWA "NI HATARI KWA AFYA YAKO" NA BADO WANAVUTA, KAMA SIO UCHIZI NI NINI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom