Dijovisonjn
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 466
- 125
karibia watanzania wote tunajua kile kinachoendelea ndani ya CHADEMA, na kama wote tukiamua tuiache hali hii iendelee hivi hivi mwisho wa CHADEMA hautakuwa mzuri!!! wengi wanaweza wakaiangalia hii hali kiushabiki na ki makundi lakini amini nawaambia kama hii ishu ikiendelea kuwa chini ya mikono ya kile kinachoonekana kambi ya Mbowe mwisho wake hautakuwa mzuri!!
Jana mh. Tundu Lissu alijaribu kufananisha hii hali na ile ya mwako 2000 kwa Dr Walid lakini alishindwa kuielewa tofauti ya hali ya CHADEMA ya mwaka 2000 na ya mwaka 2010s pia Tundu Lissu alishindwa kutofautisha nguvu ya Dr Walid kipindi hicho na nguvu ya Zitto Kabwe kipindi hiki, pia Lissu alishindwa kutambua maadui wa chama kipindi kile na maadui wa chama kipindi hiki! Ndugu wanaCHADEMA aidha kwa kupenda au au kutokupenda wote mnatakiwa kujua kuwa chama kipo kwenye wakati mgumu sana na hili kutoka salama katika kipindi hiki ni lazima busara itumike zaidi kuliko sheria, kanuni na taratibu.
WanaCHADEMA, katika hali hii mnahitaji kuwa na mtu mwenye busara zaidi na anayeheshimika sana katika chama chenu ili aweze kuwavusha salama katika hii hali la sivyo mtapotea! WanaCHADEMA mnaweza mkajiliwaza na support mnayoipata juu ya hayo maamuzi ya CC yenu lakini wengi mnashindwa kujua kuwa wale wote wanaosupport wako against Zitto mimi nahisi ili kujua ukweli jamii imepokeaje maamuzi yenu haya hebu jaribuni kufanya field reseach kwa tanzania nzima mtapata picha halisi ya namna gani wananchi wa kawaida wapenda mabadiliko walivyoipokea hii hali.
Kuna watu ndani ya CHADEMA hata hawana impacts kubwa sana ya ushawishi wa kura za wananchi wakipayuka na kuongea chochote juu ya hii hali jamii inawadharau but kunawatu wakiongea juu ya hii hali jamii inashtuka na kushangaa, watuamia mitandao ya kijamii mtakuwa mashahidi ni jinsi gani jamii ilivyopokea maneno ya akina Sugu na Msigwa juu ya hili sakata (wengi tuliwaqdharau kwa sababu tunahisi wao wenyewe tu hawajielewi) lakini wote ni mashaidi ni jinsi gani jamii ilivyopokea kitendo cha JJ Mnyika kujiingiza katika hili tatizo (Mnyika amewashtua wengi ni kwa sababu anaonekana kama mbunge anayejielewa na makini zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA sasa kitendo cha yeye kujiingaza katika vita hii ya madaraka imemtia dosari kubwa sana(mnaweza pia kupinga kuwa hii sio vita ya kimadaraka lakini jamii tunaiona hii hali kama vita ya kimadaraka).
kutokana na hali hii gafla nimeingiwa na matamanio ya kutamani kitu kisichowezekana, natamani kama ningekuwa mzee Sabodo au mzee yeyote anayeheshimika ndani ya CHEDEMA na asiyefungamana na upande wowote (nisiwe mzee Mtei) Haki ya Mungu ningejitosa kuiokoa CHADEMA ningehakikisha amani, utulivu na mshikamono vinalejea CHADEMA bila kumuumiza mtu yeyote, ningehakikisha viongozi wanajenga hali ya kuaminiana na kupendana lakin pia ningeidumisha demokrasia ya ndani ya chama, ningehamasisha ushindani usio na chuki wala majeraha ndani ya chama, ningehamasisha kuheshimiana ndani ya chama baina ya viongozi kwa viongozi, viongozi kwa wanachama na hata kwa wanachama kwa wanachama lakini mazuri yote haya ya kuileta CHADEMA katika mstari siwezi kuyafanya kwa sababu am no body ndani ya CHADEMA, ila naamini wazee na watu wanaoheshimika ndani ya CHADEMA watapewa hekima hii na MUNGU WETU na kusaidia CHADEMA.