Mambo kam hizo uwa ni supryz... Tena vile mnavojua kuigiza nyny watu lohhh!Mpaka mmefikia swala la ndoa ni lazima mjuane tabia zenu mchunguzane vizuri kabisa ndio mnaamua kuoana hii story kaka angu naona kama chai jaman labda ungesema kama hapo ukumbini mlipokua mmoja alishawahi kuwa na mahusiano nae
Hamna bwana unamuoaje mtu bila kumchunguza ndoa sio kitu cha mchezo ndio mana unaambiwa kosea yote sio kuoa au kuolewaMambo kam hizo uwa ni supryz... Tena vile mnavojua kuigiza nyny watu lohhh!
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mkuu kw yaliyokukuta ila omba mungu utapata mke mwemaMapenzi yako kwake yalianzia kwenye daladala baada ya kuvutiwa na urembo wake. Namba ya simu uliyoichukua ndiyo iliyowafanya leo hii mtimize mwaka mmoja ndani ya mahusiano yenye mapenzi motomoto.
Ndugu na rafiki zako wote wamemkubali kwa umbo na tabia! Na sasa umeamua kuoa.
Juzi mkiwa na mkeo kwenye harusi mliyoenda kuhudhuria pale Sinza, Mwika Hall unakutana na jamaa zako mliopotezana kitambo! Mmoja anamtazama mkeo kwa bashasha kama vile anamjua lakini mkeo hamtazami usoni. Ni kama vile anakwepesha macho yake.
Baadaye mshkaji mmoja wapo anakuvuta pembeni kisha anakuminya na kunong'ona..."Naona uko na mtoto! Ee bhana we mbaya?? Umeamua kuja naye kabisa harusini?"
Kabla ya kumjibu lolote unageuka na kugundua mmoja wa hao rafiki zako amebaki kwenye kiti anaongea na mke wako kwa namna ya watu wanaofahamiana kitambo.
Yanakushinda unaamua kuuliza, vipi kwani mbona siwaelewi? Mnamjua yule?
Kaka tusimjue yule? Nani asiyemjua yule sinza hii!? Mtoto mzuri kama yule.... Sema hawa mademu sijui wanakuwaje, mtoto mkali kama yule anajiuza!
"Anajiuza!?"
" Kwani hujui? We hujamtoa pale kona baa huyu? Si ndo viwanja vyake? Sema uzuri wake huyu demu ni mstaarabu tofauti na machangu wengine! Piga mzigo huo bro......
Unahisi giza usoni, na magoti yanaishiwa nguvu!
Tufanye imekukuta wewe.....imeshathibitika mkeo alikuwa changudoa utafanyaje hapo?
germve himself
Upo sahh... Thus kukosea pia uwa hakuna kufahamu kua apa npo sahh au lah ususan ktk mambo kam izo,Hamna bwana unamuoaje mtu bila kumchunguza ndoa sio kitu cha mchezo ndio mana unaambiwa kosea yote sio kuoa au kuolewa
Ni kweli kukosea kupo sana ahahh prof jay huyo wa uchumba wa miaka 13 ebu tuachane naeUpo sahh... Thus kukosea pia uwa hakuna kufahamu kua apa npo sahh au lah ususan ktk mambo kam izo,
ivo unakuta ni mungu tu bdae ndo anakuja kukufunulia kwmb ulempata n ryt person kwako au lah.. Upo?
Ndo mana prof jay aliamua kutulia kwanza, kwa alichokifanya majuz asee its a very big lesson kwa mm nlemuelewa,.... Cjui npo sahh au vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeehh... Sasa ya nn kuchafua io k2 takatifu ambayo mungu aliifanya kwa ajili ya waja wake! Betta we take tym b4 we get in.... Mana ipo tuNi kweli kukosea kupo sana ahahh prof jay huyo wa uchumba wa miaka 13 ebu tuachane nae