Kama ni wewe utafanya nini?

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mke wako/mpenzi wako na
mtu mwingine wamekumbatiana wanapigana mabusu.
Je? Ungeendelea kumkimbiza mwizi au ungemfuata mpenzi wako?
 
hasira ya kibaka ntaimalizia kwake
 
Nitaendelea kumkimbiza mwizi...
 
Naendelea kumfukuza mwizi, mke nitamkuta nyumban.
 
Nitammalizia hasira Mke wangu!!
Mwizi naweza nikamfukuza na nisimkamate!
Simu si nitanunua Nyingine tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…