Hata kwenye functions kama nyama choma kwingine huwa vyoo havizidi kumi.anayewatetea hawa ni punguani kama wao.
Unatakiwa uwe muelewa sana ndio utaelewa nilichokisema,ukichukulia maneno yangu juu juu utajikuta unatokwa na povu na kujibu hovyo kwa kuwa akili inakuwa haifanyi kazi ipasavyo.Ni post pumba of the day... There no way uzembe wa mtu mmoja au wengine, ndiyo iwe justfication kufanya ujinga..... KWA HIYO KAMA NYUMBANI KWENU BABA YAKO HAJAJENGA CHOO, AU CHOO HAKIJAISHA UNAKWENDA KUNYA SEBULENI..??
Umekwishawahi kwenda kwenye viwanja vyetu na kuona hali halisi ya usimamizi wa vifaa na taratibu zote muhimu zinazotakiwa au unaongea tu hapa ili uonekane unajua kuongea?Inahitajika fikra pevu kujadili jambo hili zaidi ya hapo tutaendelea na kasumba ile ile ya kupenda kuonekana mabingwa wa kulaumu na kushutumu jambo fulani baya bila kuangalia chanzo chake.Ha Joseph!!ukosawa kweli wewe!!!unataka wasimamizi wakawasimamie watu wakojoe wapi!!makwao wanakojoa kwenye masinki!!acha basi kutetea ujinga wa makusudi!!
Unaposema nipo sawa unamaanisha nini?Pevuka katika kufikiri na uelewe maana ya neno usimamizi kwa mapana yake si kudhani kwa namna unavyotaka wewe iwe.Ha Joseph!!ukosawa kweli wewe!!!unataka wasimamizi wakawasimamie watu wakojoe wapi!!makwao wanakojoa kwenye masinki!!acha basi kutetea ujinga wa makusudi!!
wewe unaweza kukojoa kwenye sinki.halafu tuendeleeKama unaongelea zile nyama choma festivals za pale viwanja vya posta basi ujue watu wanakoja nje kwenye majani na mazingira yana haribiwa sana. Kifupi ukiweka vyoo vichache unawapa watu nafasi ya kuamua wenyewe wapi wa kojoe, na iwapo wataamua wewe mwenye shughuli ndio punguani sio wao. Na huyu anayemtetea mtu asiyeweka vyoo kwa kuzingatia idadi ya watu ndio punguani mkubwa.
Ukiangalia vizuri hiyo picha utagundua walikua wanakojoa chini na sio kwenye sinki, we zingatia sinki liko juu kuliko zipper zao ss watakojoaje si wangejimwagia?
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
Halafu mnategemea maendeleo katika miaka ya karibuni? Maawee!