englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Ni post pumba of the day... There no way uzembe wa mtu mmoja au wengine, ndiyo iwe justfication kufanya ujinga..... KWA HIYO KAMA NYUMBANI KWENU BABA YAKO HAJAJENGA CHOO, AU CHOO HAKIJAISHA UNAKWENDA KUNYA SEBULENI..??Suala hili linatakiwa liangaliwe kwa marefu na mapana yake si kulaumu tu,kuna sababu ya hawa watu kufikia hatua hiyo,yafaa tuanzie hapo kwenye chanzo na si matokeo.
Inaonekana dhahiri kuwa kuna mapungufu makubwa sana ya usimamizi wa viwanja vyetu.
Imagination yako haikipo vizuriUkiangalia vizuri hiyo picha utagundua walikua wanakojoa chini na sio kwenye sinki, we zingatia sinki liko juu kuliko zipper zao ss watakojoaje si wangejimwagia?
Mwingine huyu.....Jamani KWA nini LEO MMEAMUA KUFUKA MOSHI WA KUNI MBICHI..??? Anyway, your signature tells allNa wewe unayepiga picha watu wakiwa kwenye faragha uone aibu, unhekuwa mstaarabu ungetumia muda huo wa kuwapiga picha kwa kuwaelekeza mahala sahihi pa kutolea haja zao. Huu uliofanya ni udhalilishaji kwa maoni yangu ni kosa kubwa kuliko kukojolea sinki.
hizo ni picha za cctv acheni kutetea ujingaNa wewe unayepiga picha watu wakiwa kwenye faragha uone aibu, unhekuwa mstaarabu ungetumia muda huo wa kuwapiga picha kwa kuwaelekeza mahala sahihi pa kutolea haja zao. Huu uliofanya ni udhalilishaji kwa maoni yangu ni kosa kubwa kuliko kukojolea sinki.
hizo ni picha za cctv acheni kutetea ujinga
Ha Joseph!!ukosawa kweli wewe!!!unataka wasimamizi wakawasimamie watu wakojoe wapi!!makwao wanakojoa kwenye masinki!!acha basi kutetea ujinga wa makusudi!!...
Inaonekana dhahiri kuwa kuna mapungufu makubwa sana ya usimamizi wa viwanja vyetu.
Sinki nane..?? Huo uwanja unaujuwa aua umesimuliwa..???Ujinga ni kuweka CCTV chooni badala ya kuweka sinki za kukojolea za kutosha. Uwanja unaoingiza watu elfu siti huwezi kuweka sinki za kukojolea nane tu.
we nyumbani kwako una idadi ya vyo sawa na idadi ya watu waliopo!!na kukiwa na function ukawa na wageni hukojoa kojoa ovyo namna hiyo kisa huna vyoo vya kutosha!!acha kutetea upuuzi huu!!Ujinga ni kuweka CCTV chooni badala ya kuweka sinki za kukojolea za kutosha. Uwanja unaoingiza watu elfu siti huwezi kuweka sinki za kukojolea nane tu.
we nyumbani kwako una idadi ya vyo sawa na idadi ya watu waliopo!!na kukiwa na function ukawa na wageni hukojoa kojoa ovyo namna hiyo kisa huna vyoo vya kutosha!!acha kutetea upuuzi huu!!
Sinki nane..?? Huo uwanja unaujuwa aua umesimuliwa..???