Kama ni wewe ungefanyaje?

Kama umejua alikuwa anakudanganya unataka nini tena?? chamuhim sikiliza moyo wako.

ila sio mpango kutemeana mbovu pindi muachanapo mkuu
 
Mkuu mtalingolo ilibidi maana kama juzi yake nilimwomba appointment akazingua, sasa mambo yalipombana akanitafuta.
 
Sijaelewa hapo mwishoni,yani amekudanganyanini?roho inasita nini? Njia panda ya nini? Yan yan em fafanua nikushauri!!
 
munkari alichonidanganya ni kuniambia ananipenda ila kiuhalisia ni kwa sababu ya vijisenti nilivyokuwa nampa. Roho inasita kurudisha mapenzi kwake. Njiapanda ni kwa sababu pia alikiri kwa swahiba wake alichokifanya sasa swahiba ananisihi nisimwache na kwa upande mwingine niligombana nae kwa hata yeye nahis anastahili kuombwa msamaha ambapo sitaki.
 

basi fanya hivi,kama unahisi anakupendea pochi yako ni wazi HAKUFAI pia kama unaona anastahili kuombwa msamaha kwakile ulichomwambia(matusi i think) basi mtake radhi na kila mtu achukue hamsini zake!! Wasichana wazuri na wema wapo wengi tu niwewe kuwa makini na uchaguzi wako.otherwise kila la kheri kwenye maamuzi yako!!
 

Asante Munkari kwa kunitia moyo, ubarikiwe sana.
 
mkiombwa pesa na ndugu zenu kwenye mambo ya msingi kama elimu mnakuwa wagumu kama miamba ya mwanza,

ila mabinti tu from nowhere mnawapa tu, by the way, Go ahead.

Mapenzi ni sawa na monsoon winds, leo boti inaenda, kesho haiendi.

Goodmorning this afternoon.
 
somesha, we somesha tuuuu ipo siku atakupenda kwa dhati! na wewe inaonekana uliweka pesa mbele ikusaidie kutongoza ikabidi binti atumie fursa
 

Tunajipa moyo tukiwa in the loosing side.

Hakuna mkitu kama hiki.
 
somesha, we somesha tuuuu ipo siku atakupenda kwa dhati! na wewe inaonekana uliweka pesa mbele ikusaidie kutongoza ikabidi binti atumie fursa

hizo pesa nimempatia baadae sana baada ya kuniomba na mimi kuguswa na matatizo yake. Hata nje ya mapenzi naogopa sana urafiki kwa sababu ya pesa.
 
Ww co mpnz bali mtatua shida zake upo hapo???
 
msamehe lakini huyo tegemea maumivu zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…