Kama ni wewe ungefanyaje

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,695
Mfano wewe ni Derevawa Bodaboda umepigiwa simu kumfuata mteja Gest na wewe ukaenda maana ndiyo kazi yako, sasa ile unafika tu! Unakuta Mteja ni Mkeo, akiwa na jamaa Mlangoni wanatoka ndani ya Guest wakiwa Wameshikana Mikono na Jamaa anakwambia Muwahishe Nyumbani kabla Mume wake hajarudi, Na wewe ndiye MUME
 
Dàa hapo sasa nitageuza bajagi Na kumkatia taraka
 
Namwahisha nyumbani chap

Sitamsemesha chochote japo moyoni itaniuma sana

Nitatafuta Kalam Na karatasi ntaiandika talaka

Kwa sababu siwezi kuanza kujua katembea nae au la

Kitendo cha kumkuta guest Na mwanaume mwengine n wazi hafai Na ameivunja ndoa yake kwa mikono yake

Namsaidia kumfungashia ikibidi Na nitampakia kwenye usafiri wangu kumsogeza karibu na usafiri wa kumpeleka kwao
 
Anakuwa sio mkeo tena unampeleka nyumbani kwa huyo jamaa tu
 
Nngechukua changu chap chap, nimuwahishe ka atathubutu kupanda. Ila changu kibindoni kwanza. Akifika, atanipa stori ya alikotoka kwani nilimwacha home nkaende kusakanya za kumlisha

Nadhani ningefanya hivyo pia. Ila upande wangu wala nisingemuhoji chochote. Nampa adhabu ya kufikiria nafikiria nini, wakati nafikiria kujitoa.
 

Hmm!
 
namwambia wife aende nyumbani...nakodi chumba alaf nam'bandua jamaa....alafu napitia hardware nanunua panga nikifika geto wife simwambii chochote....asubuh na mapema naanza kunoa panga....mchana tena nanoa panga langu....jioni tena nanoa panga alafu wife simkasirikii....kesho tena nanoa panga asubuhi,mchana na jioni....wife akiona tu nnavonoa panga lazima afe kwa hofu....
 
Mpakie, kama kwao si mbali mpeleke, rudia mizigo yake nyumbani, mpelekee.

Kama kwao mbali, kamshushe stendi kuu, rudia mizigo yake nyumbani, mpelekee.

Maisha lazima yaendelee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…