Nitakupa mfano mmoja;
Tulifundishwa types za leadership, tukaambiwa zipo tano.
1. Democratic
2. Dictatorship
3. Laiser fair
4. Country club
5. Democratic - Dictatorship (Hii ndo the best type of leadership).
Wangekuwa ni viongozi, kwa kazi wanayofanya manesi naamini category namba 5 itawafaa zaidi.
Kuna cases inabidi atumie demokrasia, na pengine awe dikteta. Manesi watakuwa wamenieelewa!
Teh! Ila hiyo picha tunawaonea.