KAMA NI RAFIKI HAPA NIMEPATA

Hahahahaaaa! niliona moja hivi, dogo kaitwa namwalimu asolve hesabu ya kujumlisha ubaoni akawa hajui jibu ,alipogeuka kuwatazama wenzie rafiki yake akamuonesha jibu kwa ishara ya idadi ya vidole vya mikono yake, badala ya kuandika namba ya idadi ya vile vidole yeye akaandika OK
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli umepata lol
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajiendeleze tu na kipaji cha kuchora...elimu ya darasani hana kipaji
 
Nyuma ya genius wa darasa msela kala wa mbuzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…