Kama ni mtumiaji wa nokia symbian series

Kama ni mtumiaji wa nokia symbian series

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
kama ni m2miaji wa Nokia E5, E71, N71, N73, na nyingnezo

kuna apps, za kuwa nazo makini sana, apps kama
x-plore ambayo hu show RAM drives, na SYSTEM FOLDER, ambayo ina include PRIVATE FORDERS, zilizo contain system ya simu nzima. Apps hz
Kama utatumia vibaya kwa mfano (ume delete file lililo katika system folders, utakuwa ume sababisha matatizo katika cm yako, yawezekana kuto function kabisa, na kama umedelete system folder ku flash cm co ujanja mana utakuwa unacheza 2,
NJIA:
Kama una2mia apps kama hz hakikisha ume zi password, kuzuia ku2mika na m2 aciye jua

PIA MATUMIZI YA 3G AIRTEL INTERNET

Kwa kawaida cjui ni kwa nin mana unapo 2mia airtel 3g internet sim aina hii na nyingnezo, hupata joto sana,
 
Hata hivyo Symbian ishapitwa ba wakati, sasa Nokia wapo kwenye window 8 phone
 
Hata hivyo Symbian ishapitwa ba wakati, sasa Nokia wapo kwenye window 8 phone

ni kweli lakini bado tunazitumia na zinakidhi matakwa yetu, mfano nina N73 toka 2008 hadi sekunde hii, ukiachana na wi-fi ina feature nying for internet normal user,music,picture,office nk
 
kusema symbian zimepitwa na wakat ni vigumu sana, na sio kwamba, nokia wata base, kwenye win 8 tu,
kwan, hata kama zikaja hzo smart phone vip, bado symbian zita zid kutumika 2. Kutokana na ubora na uimara wake, hebu jiulize N73, imetoka 2008, na NOKIA X2 imetoka 2010 lakini X2 01 huwez fananisha na N73, na bado pia kuna symbian zimetoka 2011, kama utajiulza utakuta X2 ni ya zaman!
 
SYMbian ni simu imara sana.. Kwa upande wangu nazikubali
 
Last edited by a moderator:
c3 sio symbian

C3 na C5 ni nini? Maana niliwahi kuzitumia ila sijui zina fall kwenye category gani!! Haya mambo magumu kwetu wengine, mie nanunua simu mostly kwa kusikia kwa mtu kuwa ni nzuri sasa hapa naona kuna more information.
 
jaman NOKIA C3, na C5 ni symbian nazo,
mkuu (Mkwawa)
elewa hilo
ila C3 ina fall katika symbian series s40
na Nokia C5 03 ni smart phone series ya symbian
 
C3 na C5 ni nini? Maana niliwahi kuzitumia ila sijui zina fall kwenye category gani!! Haya mambo magumu kwetu wengine, mie nanunua simu mostly kwa kusikia kwa mtu kuwa ni nzuri sasa hapa naona kuna more information.

c3 ni java phone inayotumia nokia os wakat c5 ndio symbian
 
jaman NOKIA C3, na C5 ni symbian nazo,
mkuu (Mkwawa)
elewa hilo
ila C3 ina fall katika symbian series s40
na Nokia C5 03 ni smart phone series ya symbian

kaka hakuna kitu kama symbian s40,

symbian ni nyengine na s40 ni nyengine.

mfano rahisi tu nokia alishatangaza symbian imekufa lakini hadi kesho simu za s40 zinatoka unalijibuje hili?
 
wakuu nokia C3
siyo symbian
ila ni series 40
which have Debbugger
debbugger is the one which debug java application to be run into Nokia series40.
Na hata series 40 zika zid kutoka zitakuwa ni java phones zenye debugger siyo symbian
 
c3 ni java phone inayotumia nokia os wakat c5 ndio symbian

Thanx Chief for Information, I had no idea on those animals (symbian and Java etc), I think I have to do a lot of homeworks on those things, anyway C-5 was good to me than C-3 which seemed not to respond on some applications though my ignorance might have contributed for such poor performance!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom