yuko ndugu yet mmoja alitonywa kuhusu mkewe kugegedwa akiwa safarini.
kilimuuma sana hakumwambia mkewe.
siku moja aliaga anasafiri kikazi kama kawaida yake.alisubiri hadi saa 8 mchana akarudi home ghafla akamkuta housegirl na mtoto
akauliza mama kajibiwa yuko na uncle..
aliingia chumbani kwake kawakuta na shetan alivo mwema hawakufunga mlango
akawasalimia habari zenu,akachukua charger ya simu yake akatoka akaingia zake mitaani hakuwafanya kitu.
mkewe alirudi kwao mwenyewe kwa aibu..walikuja kusuluhisha mke sasa katulia..
huyu aliempiga mkewe labda kama atamwacha cause anajiabisha mwenyewe/