ni wachache wenye huu moyo kama wako^^
Alijua akikamatwa atapigwa,,mimi ningefanya kinyume chake.
Ningemsifu,nikampeleka nyumbani nimuulize nini tatizo hadi afanye alivo fanya.Badiliko la langu litategemea ushirikiano wake.
^^
Kuna sakata moja limetoa nyasho musoma,sakata lenyewe ni hili: kuna mwanamke mmoja umri kati ya miaka 40 amefumaniwa akifanya mapenzi laivu na kijana mdogo wa miaka 23, wawili hao wamekamatwa wakifanya mambo yao ndani ya saloon yake ambayo alifunguliwa na mme wake kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa familia! Lakini kinyume na matarajio salon imekuwa ni gest yao, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wanasema mme wake alipata habari toka kwa raia wema na mara alipofika kijana alichomoka ndani akiwa na boxer na kutokomea! mara baada ya mme wake kufika alimpa mikanda ya kutosha kisha kuondoka hadi polisi walipokuja na kumchukua mama huyo ambaye aligoma kutoka ndani mpaka alipopewa makofi ya kutosha,kisha wakaondoka nae,mwisho wa sakata!
Nitashangaa huyu jamaa akiendelea kukaa na mke wa namna hii asiyejua tofauti ya guest house na saloon.
mzinifu atazini tuu.
niko njia panda
- ukimpa hela ya kutosha atatiwa na houseboy/mlinzi
- usipompa hela atatiwa na wenye pesa
- ukimpa mtaji ajiendeleze na kuwa busy, anatiwa na vijana wa mtaani
Money cant buy you love its said
Mapenzi ni zaid ya kufunguliana.biashara na kwa kawaida mtu akishakuwa na uhakika wa.kula kuvaa na kulala basi hitaji la self satisfaction hiloooooo litajitokeza!!!! Wengine beach,wengine mitungi,aerobics bas bora kila mtu ana lake sasa hapo ni kama mzigo ukiambiwa use no hooks fanya hivyo,this side up basi usilipindue!!!!!
Mjue mwenza wako anaridhika nafsi kwa lipi,baadhi ya wanaume hudhani kumpa mke mtaji na biashara ndio glue ya ndoa waaaaapi jitume mzee tena saaaana na kama kashamaliza uzazi na bado kijana ndo kabisaaaaaaaa anakuwa na.kiu ya tembo kunywa huku akitibua!!!!!!!
Kumfanya nini ingetegemea na unamkutaje na anafanana vipi kuna kumkuta mtu na kosa lakini unaona nafsi yake inahangaika kwa majuto na kuna unayemkuta kajiandaa kwa shari despite the wrong doing!!!!!
Nafurahi sana comments zako kuhusu women! U are not bias at all! Huchukulii wanawake kama mashetaani wasiofaa! Unaonya, unaelewa kwann saa nyngne wanakosea, na hata unafahamu mapungufu yao kama binadamu, huwadhalilishi! yaani I appreciate! Thank you! Yaani hata kama we ni matonya mwanamke yeyote aweza kuishi nawe trust me!
tabia ni kama ngozi.,haibadiliki.