Kama ni kweli, watu hawa wametumia vigezo gani kuwateua wagombe wa tuzo hii?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Baada ya utata kuhusu ukweli wa tuzo ya Forbes, nimekutana na hii link ambayo inanifanya nione huenda kuna ukweli fulani kuhusu hii tuzo.

Link:

Forbes: Rais Magufuli kuwania tuzo la mtu mashuhuri - BBC Swahili

Maswali:

Wametumia vigezo gani kuteua hawa wagombea?

People of Rwanda inawakilisha nini?

Mbona majina mengine hata umaarufu wake ni mdogo sana?

Unawezaje kumshirikisha Rais wa nchi na watu wa kawaida tu ingawa ni maarufu?

Kwanini tuzo hizi zisishindanishwe kwa kuwashirikisha watu wanaofanya kazi au shughuli zinazofanana?

Nikiri tu tuzo hizi huwa sizifutilii ila hiyo orodha ya washiriki kama ni ya kweli, mimi inanipa mashaka sana kama kweli kazi hii inafanywa na watu wasomi.

Hii issue kama ni kweli, basi huenda ikaibuka kashifa kwa waandaji na uchunguzi utafuata.
 
Mods kama hamtojali nitawaomba msiunganishe hii

Baada ya utata kuhusu ukweki wa tuzo ya Forbes,nimekutana na hii link ambayo inanifanya nione kuna ukweli fulani kuhusu hii tuzo

Link:

Forbes: Rais Magufuli kuwania tuzo la mtu mashuhuri - BBC Swahili

Maswali:

Wametumia vigezo gani kuteua hawa wagombea?

People of Rwanda inawakiisha nini?

Mbona majina mengine hata umaarufu wake ni mdogo sana?

Unawezaje kumshirikisha Rais wa nchi na watu wa kawaida tu ingawa ni maarufu?
WiFi ya Lumumba inafanya kazi Mkuu!
Nothing is serious there!.
 
Mwenyewe nashangaa ki mantiki inatskwa washindanishe watu wanaofanana -sasa mambo ya kuchanganya mbuzi na ngombe wapi na wapi!!!
 
Kwanza,shindano hilo lingefanyika kwenye website ya Forbes Africa yenyewe na kuripotiwa kwenye mitandao ya kijamii ya Forbes Africa. Angalia kwenye website hii Forbes Africa Magazines kama kuna shindano lolote.
Pili,uwezi kuweka peaple of Rwanda kwenye tuzo kama hii.
 
Mods kama hamtojali nitawaomba msiunganishe huu uzi.

Baada ya utata kuhusu ukweli wa tuzo ya Forbes,nimekutana na hii link ambayo inanifanya nione huenda kuna ukweli fulani kuhusu hii tuzo

Link:

Forbes: Rais Magufuli kuwania tuzo la mtu mashuhuri - BBC Swahili

Maswali:

Wametumia vigezo gani kuteua hawa wagombea?

People of Rwanda inawakiisha nini?

Mbona majina mengine hata umaarufu wake ni mdogo sana?

Unawezaje kumshirikisha Rais wa nchi na watu wa kawaida tu ingawa ni maarufu?

Kwanini tuzo hizi zisishindanishwe kwa kuwashirikisha watu wanaofanya kazi au shughuli zinazofanana?

Nikiri tu tuzo hizi huwa sizifutilii ila hiyo orodha ya washiriki kama ni ya kweli,mimi inanipa mashaka sana kama kweli kazi hii inafanywa na watu wasomi.

Hii issue kama ni kweli,basi huenda ikaibuka kashifa kwa waandaji.
Mkuu umeshamaliza ya msikiti na mfal
Mods kama hamtojali nitawaomba msiunganishe huu uzi.

Baada ya utata kuhusu ukweli wa tuzo ya Forbes,nimekutana na hii link ambayo inanifanya nione huenda kuna ukweli fulani kuhusu hii tuzo

Link:

Forbes: Rais Magufuli kuwania tuzo la mtu mashuhuri - BBC Swahili

Maswali:

Wametumia vigezo gani kuteua hawa wagombea?

People of Rwanda inawakiisha nini?

Mbona majina mengine hata umaarufu wake ni mdogo sana?

Unawezaje kumshirikisha Rais wa nchi na watu wa kawaida tu ingawa ni maarufu?

Kwanini tuzo hizi zisishindanishwe kwa kuwashirikisha watu wanaofanya kazi au shughuli zinazofanana?

Nikiri tu tuzo hizi huwa sizifutilii ila hiyo orodha ya washiriki kama ni ya kweli,mimi inanipa mashaka sana kama kweli kazi hii inafanywa na watu wasomi.

Hii issue kama ni kweli,basi huenda ikaibuka kashifa kwa waandaji na uchunguzi utafuata.
me wa morocco?
Hii ya Magufuli naona imekuumiza sana,angalia usije shindwa kulala,huwezi kuzinga goli ni pana sana na mafowadi wana mbio wakati beki yako mbovu.
 
Mods kama hamtojali nitawaomba msiunganishe huu uzi.

Baada ya utata kuhusu ukweli wa tuzo ya Forbes,nimekutana na hii link ambayo inanifanya nione huenda kuna ukweli fulani kuhusu hii tuzo

Link:

Forbes: Rais Magufuli kuwania tuzo la mtu mashuhuri - BBC Swahili

Maswali:

Wametumia vigezo gani kuteua hawa wagombea?

People of Rwanda inawakilisha nini?

Mbona majina mengine hata umaarufu wake ni mdogo sana?

Unawezaje kumshirikisha Rais wa nchi na watu wa kawaida tu ingawa ni maarufu?

Kwanini tuzo hizi zisishindanishwe kwa kuwashirikisha watu wanaofanya kazi au shughuli zinazofanana?

Nikiri tu tuzo hizi huwa sizifutilii ila hiyo orodha ya washiriki kama ni ya kweli,mimi inanipa mashaka sana kama kweli kazi hii inafanywa na watu wasomi.

Hii issue kama ni kweli,basi huenda ikaibuka kashifa kwa waandaji na uchunguzi utafuata.
Unaona mbali sana .
 
TAFUTA WEB SITE YAO KISHA ULIZA SWALI LAKO THEN UTAJIBIWA. SISI KAZI YETU NI KUPIGA KURA TU
 
Hii ni kanyaboya lumumba wanajitekenya wenyewe,ni wapumbavu wanatumwa kuja kututoa kwenye mijadala ya kitaifa baada ya kuonekana kupondwa kwa kuomba wajengewe uwanja wa mpira na msikiti ilihali walitoka vifua mbele kwamba serikali ni tajiri na haihitaji misaada ili hali kumbe ni omba omba aliyepindukia,nimesikia pia wameenda kukopa exim ya uchina ili waje kutudanganya kwamba wamekusanya matilioni,wezi wa kura hawa watajuta,MUNGU atawaumbua..
 
Uzuri ni kwamba Rais wetu ni PhD holder vinginevyo hawa mission town wangeanza kumzongazonga na udaktari wa kuchovya kama awamu ile.Watanzania tufanye kazi jamani siku za ujanjaujanja ni kama zimepita ndomana mnastukiana wenyewe mission town siasani!
 
Hahaha...Vijana wa CCM wanatufanya sisi watoto wadogo.

Wanajitungia mambo yao ya hovyo hovyo tu.

Huwezi kumlinganisha Rais wa nchi na wajasiriamali wadogo wa nchi zingine.

Mods kama hamtojali nitawaomba msiunganishe huu uzi.

Baada ya utata kuhusu ukweli wa tuzo ya Forbes,nimekutana na hii link ambayo inanifanya nione huenda kuna ukweli fulani kuhusu hii tuzo

Link:

Forbes: Rais Magufuli kuwania tuzo la mtu mashuhuri - BBC Swahili

Maswali:

Wametumia vigezo gani kuteua hawa wagombea?

People of Rwanda inawakilisha nini?

Mbona majina mengine hata umaarufu wake ni mdogo sana?

Unawezaje kumshirikisha Rais wa nchi na watu wa kawaida tu ingawa ni maarufu?

Kwanini tuzo hizi zisishindanishwe kwa kuwashirikisha watu wanaofanya kazi au shughuli zinazofanana?

Nikiri tu tuzo hizi huwa sizifutilii ila hiyo orodha ya washiriki kama ni ya kweli,mimi inanipa mashaka sana kama kweli kazi hii inafanywa na watu wasomi.

Hii issue kama ni kweli,basi huenda ikaibuka kashifa kwa waandaji na uchunguzi utafuata.
Waongo hawa.
 
Paka shume ni nani?

Back
Top Bottom