kama ni kweli Situmii tena Condom !


ahsante mkuu
 
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau

Haka kausemi katakufaa...
"Kabla hujafungua mdomo wako..fungua kwanza ubongo wako".......
 
...dah afazali ngoja niongeze majeneza,najua kwa msimamo huu biashara itapanda...
 
condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau

hata ukiweka pipi juana kitatokea unacho kisema.

Kwa hiyo unajaribu kusema nini? Nakumbuka hili swali nilikuwa naulizwa sana na wamasai maana wao condom kuwashawishi kutumia ni kazi sana.
Na walikuja na sababu kama hii wakiamini ni ushahidi kuwa wazungu wameweka virus kwenye condom.
Lakini walishindwa kuniambia ni virus gani.

Kama hii ingekuwa ni sababu basi duniani kungekuwa na watu wachache sana maana condom zinatumika sana watu kujilinda.

Bila shaka ujawai kutumia condom.
 
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau
Ujinga mtupu.... Mbona ukiacha mboga yako bila kuishghurikia nayo inaharibika..??? Utaacha kuila.??? Reasoning za ajabu
 

Duuuh..ulifikiri ni nguo hiyo ?? Ndo ukaianike
 
Duh!!

si ungenitafuta tu mkuu nikuazime chapaa ununue pakti nyingine!!?UKAAMUA KUFUA MZEE MZIMA!!?
 
Usitumie tu pengine ilipangwa ufe na ukimwi,hao funza tunawala hata kwenye maembe ijekuwa CONDOM???
 
Condom unaweka juani! Ulifua au? Div 5 inakuhusu
 
Baada ya siku mbili nitakuja na majibu ...naenda zangu singida kule hamna network kabisa.
 
mwenzako wanafikiria namna ya kupata pesa wewe unawaza ngono tuu akili za kuku kondomu tumia kwa faida hata ukichemsha mbona barida tuu
 
Yani hawa wote humu ndani bila condom wasingekuwepo,kondom ina save life
 
Hahaaa jamaa alitumia kisha akafua akaanikla juani kwa matumizi ya baadae!
 
mwenzako wanafikiria namna ya kupata pesa wewe unawaza ngono tuu akili za kuku kondomu tumia kwa faida hata ukichemsha mbona barida tuu

afya ni kitu cha muhimu sana kuliko pesa. Bila kuwa na afra bora uwezi tafuta hizo pesa unazoziwazia utazipata lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…