wanatakiwa watoe orodha ya wale wote waliokamatwa na mchezo wa kuchakachua mafuta watangazwe hadharani na wajitokeze wale wote walioathirika na hayo mafuta ili walete kesi zao mahakamani walipwe stahiki zao.
Najua ni wengi ingawa watanzania wengi hawana nafasi ya kushughulikia matatizo yao kwa kina wako bize zaidi kuliko kukaa foleni police au mahakamani kuandikisha fail.
hawa mt meru siyo hawa gapco wa arusha? Walitajwa pia wakati ule wa epa
hizo faini nigeona risiti ningeendelea na mjadala bw mmoja hanshope aliwaeleza wazi watanzania kwenye kipindi cha uchaatuaji kwamba hao tra nao ni binadamau sie tunawajua wamepitisha magari mangapi bila ushuru iwe hayo ya kuecheki mafuta hiyo ni baada ya kuulizwa inakuwa vipi tra wakapewa hili jukumu la kucheki mafuta akasema tra ni binadamu anyway kimoyomoyo najua alikuwa anasema wanakula rushwa takukuru na hosea wake ije tra wao nani kwani nani ataki kuishi maisha mazuri kwanza nampongeza yule bwana kwa kuwa muwazi na mkweli najua kwa ukweli ule ipo siku tutafumbuk a macho ingawa mkurugenzi wa israel alikimbia maswali yake live...so ukija kuangalia sana ni porojo ndugu na najua hata kama ni kweli jiulize yale mafuta yaliorudishwa yako wapi na mengine yameshafungu ingine za watu wameshindwa kuzirekebisha sasa uoni yale mafuta akiyauza ana faida ya million kadhaa hiyo takataka mil 32 kwao ni mbuzi hawa hata million mia awana tatizo watalipa na kesho wako uwanjani wanajua ikuhiyo ni moja ya siku ya mapambano na awataacha....kwenu mawazo yenu nini kifanyike tuondoe kuchakatuliwa na kuwekewa upeposasa isije fine wakalipa, lakini bei ikaongezeka ili kufidia hiyo fine
huwa anamwaga gapco na kampuni moja ina rangi za njano nimesahau kidogo nikija arusha ntawamwagi ...huyu ndie anawamwagia karibu shell zote za pwani ...so kwa upendo tu msione bei ya chini mkakimbilia mnaumiza gari zenu wapendwa nimeanza na huyu huku nikifwatilia wengine pale ewura ntakuja kuwamwagia.....
Kua shell zifwatazo zimekutwa na kosa la kujaz a upepo
oil com ubungo
bp hapa tanki bovu hii ni ya yule fisadi maranda ..kama sijakosea jina lakini bp walimjia juu n akurekebisha mashine zao wakipita kila mara kwa mara na ndio maana jamaa hata siku hizi ukipita mafuta yameisha
nyingine ni camel ya bamaga//na ile ya afrikasana afadhali ya awa wanatujazia upepo kuliko mchakato
Mhhhh Labda sijaelewa.Nimisoma ktk Daily News ya leo..
TRA wamewapiga fine na ilipwe ndani ya siku 30, wamiliki wa kila lori la mafuta ambalo lilibeba mafuta yaliyochakachuliwa na kukamtwa Kigali-Rwanda!!! faini ni asilimia 50 ya thamani ya mzigo(kwa kila lori) ambao ni Mil. 64, hivyo kutakiwa kulipa Mil 32 kwa kila lori.
Good start... operesheni hiyo iingie hadi katika vituo vya mafuta!!:smile: