K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,717 Reaction score 33,000 Oct 26, 2025 Thread starter #21 Reuben Challe said: Hapana watu wakichemka tarehe 29, wanaweza kujipanga na kurudi tena tarehe 30 Click to expand... Kazi ya ukombozi wa taifa haiwezi kutimizwa katika siku moja hiyo ya Oktoba 29; kutakuwa na mfululizo wa matukio kufikia kilele cha ukombozi kamili.
Reuben Challe said: Hapana watu wakichemka tarehe 29, wanaweza kujipanga na kurudi tena tarehe 30 Click to expand... Kazi ya ukombozi wa taifa haiwezi kutimizwa katika siku moja hiyo ya Oktoba 29; kutakuwa na mfululizo wa matukio kufikia kilele cha ukombozi kamili.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,323 Reaction score 29,212 Oct 26, 2025 #22 CCM kwa sasa sio chama ni genge hatari la wahuni.