Huyo usimjadili kabisa.Hufanya anavyopenda na haulizwi.Je na mnayemuabudu vipi naye kapotezea?
Kwamba Hamas wapewe maua yao kufa kama panya?? Wachache waliosalia wamejificha kwenye mahandaki kama KAKAKUONA.Kuna taarifa zenye utata ya kuwa viongozi wa Iran wamesemea hawatoi msaada kwa Hamas eti kwa vile hawakuwaeleza mapema kuhusiana na shambulio lao la okotoba 7.
Hizbolah nayo ya Lebanon iliwahi kusema haikuhusika na taarifa kuhusiana na shambulio la oktoba 7.Mpaka sasa hakuna aliyesema kwamba aliwasaidia Hamas kwa namna yoyote ile katika kupanga na kutekeleza shambulio lao hilo.
Hiyo ni habari njema kwa wale wanaokuwa kwenye shida kubwa za maisha.Usiwe unalialia tu bila kuchukua hatua za kujinasua kwa nafsi yako.
Na kwa ujumla hiyo ndiyo kanuni muhimu ya maisha kila mtu huipenda aione kwa mwenye shida.Hata benki huwezi kulala nyumbani mpaka ukaota ukurutu halafu unakwenda kupeleka barua upewe mkopo.
Serikali nyingi hupenda kusaidia wananchi waliojikushanya kushughulikia changamoto za maeneo yao kabla ya kuomba msaada serikali kuu.
Ukiwa na fedha za kusaidia watu pia usiwe unatoa pesa kwa omba omba wa mitaani.Tafuta mwenye akili aliyeanza kuuza hata vitu vya mkononi.
Hamas wameonesha mfano kwa kujisaidia wenyewe kwenye shida zinazowakabili wao kwanzo japo zinawahusu na wengine duniani.Hawakuwa na sababu ya kuomba ruhusa kwa yeyote wala kutoa taarifa ya mipango yao.
Inajulikana kuwa Gaza imekuwa kama Gereza kwa muda mrefu.Kila kinachoingia lazima kipitie mikononi mwa Israel na kibaraka wao Misri.Katika hali hiyo wamekuwa wakitumia chuma chakavu na mabaki ya makombora ya Israel kujiundia makombora yao hatua kwa hatua mpaka yamefikia kuruka mpaka Tel Aviv mji mkuu wa Israel.
Sasa kama kuna anayewalaumu au kufanya nongwa kwamba hakujulishwa Hamas wanaweza kumwambia nenda zoko huko.
Kama waweza kutusaidia fanya kama wajibu kwako na kama hutaki tuwache na Mungu wetu.
Waliyajua mapema hayo.Ndio maana wakachimba mashimo Israel na teknolojia yao yote walishindwa kujua na sasa wameshindwa kuwaona walipo wao na mateka wao.Kwa akili ya kawaida hapo ni mashada ya maua tu.Kwamba Hamas wapewe maua yao kufa kama panya?? Wachache waliosalia wamejificha kwenye mahandaki kama KAKAKUONA.
Kwa akili yako unadhani hicho kinachowakuta ndicho walichokotegemea?
Hakika nakwambia, ikitokea miujiza Hamas wakafufuka, nakuhakikishia wataikana hiyo DINI inayowatapeli kwa maslahi ya viongozi wachache.
Kwamba wapewe maua watu waliosababisha vizazi vyao kufutwa kwenye uso wa dunia!? Huna akili
Hujasoma wenzako wanasema eti kaamua kuwaacha mkono.Mimi ndio nikasema ni habari yenye shaka.Usipotoshe!
Ayatollah alisema ataingia front mwenyewe! Ila kaona Yanini atafyekwa mapema tu, alichabaki nacho ni kuwapa tu visiraha nk
Angekuwa Mungu angesha jibu siku nyingi. Lakini kwa kuwa ni mungu, hapo mtasubiri sana. Halafu Mungu hajawahi kusimama upande wa wafilisti tokea hapo hasa wanapopigana na Israeli read the Bible and you'll know the truth.Huyo usimjadili kabisa.Hufanya anavyopenda na haulizwi.
Kila unachokiona kwako ni kibaya sana au ni kizuri sana kwake ni kawaida tu,Na huwa ni mtihani kwa waja wake wote.
Jee watasubiri katika shida kubwa na kuendelea kumuabudu yeye.Au jee kwa ukali wa shida za wenzao watasaidia au wataumia kwa shida hizo?
Msaada wake huja kwa yule anayejitahidi katika hatua za kukata tamaa sana.
Huko nyuma kuna waliopewa mitihani mikubwa kuliko hiyo na wengine wakafuzu na baadhi wakafeli.Malipo mbele kwa mbele.
Unajidanganya sana.Mwaka huu ndio utamjua Mungu ni nani ?Angekuwa Mungu angesha jibu siku nyingi. Lakini kwa kuwa ni mungu, hapo mtasubiri sana. Halafu Mungu hajawahi kusimama upande wa wafilisti tokea hapo hasa wanapopigana na Israeli read the Bible and you'll know the truth.
Iran ameona maji yamefika shingoni , Kila kitu kimeharibika Gaza, utawala wa Gaza umeondoka, kwa aibu wameshindwa kuwasaidia wanaona wajisafishe Kwa Hilo. Utaaminije propaganda kutoka Iran?Kuna taarifa zenye utata ya kuwa viongozi wa Iran wamesemea hawatoi msaada kwa Hamas eti kwa vile hawakuwaeleza mapema kuhusiana na shambulio lao la okotoba 7.
Hizbolah nayo ya Lebanon iliwahi kusema haikuhusika na taarifa kuhusiana na shambulio la oktoba 7.Mpaka sasa hakuna aliyesema kwamba aliwasaidia Hamas kwa namna yoyote ile katika kupanga na kutekeleza shambulio lao hilo.
Hiyo ni habari njema kwa wale wanaokuwa kwenye shida kubwa za maisha.Usiwe unalialia tu bila kuchukua hatua za kujinasua kwa nafsi yako.
Na kwa ujumla hiyo ndiyo kanuni muhimu ya maisha kila mtu huipenda aione kwa mwenye shida.Hata benki huwezi kulala nyumbani mpaka ukaota ukurutu halafu unakwenda kupeleka barua upewe mkopo.
Serikali nyingi hupenda kusaidia wananchi waliojikushanya kushughulikia changamoto za maeneo yao kabla ya kuomba msaada serikali kuu.
Ukiwa na fedha za kusaidia watu pia usiwe unatoa pesa kwa omba omba wa mitaani.Tafuta mwenye akili aliyeanza kuuza hata vitu vya mkononi.
Hamas wameonesha mfano kwa kujisaidia wenyewe kwenye shida zinazowakabili wao kwanzo japo zinawahusu na wengine duniani.Hawakuwa na sababu ya kuomba ruhusa kwa yeyote wala kutoa taarifa ya mipango yao.
Inajulikana kuwa Gaza imekuwa kama Gereza kwa muda mrefu.Kila kinachoingia lazima kipitie mikononi mwa Israel na kibaraka wao Misri.Katika hali hiyo wamekuwa wakitumia chuma chakavu na mabaki ya makombora ya Israel kujiundia makombora yao hatua kwa hatua mpaka yamefikia kuruka mpaka Tel Aviv mji mkuu wa Israel.
Sasa kama kuna anayewalaumu au kufanya nongwa kwamba hakujulishwa Hamas wanaweza kumwambia nenda zoko huko.
Kama waweza kutusaidia fanya kama wajibu kwako na kama hutaki tuwache na Mungu wetu.
Mpalestina wa Tandale anawapa marehemu wa Hamas maua.Waliyajua mapema hayo.Ndio maana wakachimba mashimo Israel na teknolojia yao yote walishindwa kujua na sasa wameshindwa kuwaona walipo wao na mateka wao.Kwa akili ya kawaida hapo ni mashada ya maua tu.
Kama October 7 walisema Allah Akbar na sasa wameuliwa wote.... unaweza kutuambia Allah wao kawapuuza au kawaadhibu??Huyo usimjadili kabisa.Hufanya anavyopenda na haulizwi.
Kila unachokiona kwako ni kibaya sana au ni kizuri sana kwake ni kawaida tu,Na huwa ni mtihani kwa waja wake wote.
Jee watasubiri katika shida kubwa na kuendelea kumuabudu yeye.Au jee kwa ukali wa shida za wenzao watasaidia au wataumia kwa shida hizo?
Msaada wake huja kwa yule anayejitahidi katika hatua za kukata tamaa sana.
Huko nyuma kuna waliopewa mitihani mikubwa kuliko hiyo na wengine wakafuzu na baadhi wakafeli.Malipo mbele kwa mbele.
CHuki imekupofushaHakuna aliyewaona.Ni uzushi tu.Waliochomwa na kuuliwa wapalestina ni karibu eflu 5 mpaka leo na hata wewe umewaona.
Mwanzo mlisema hawaingii Gazamayahudi wangapi nao wamepukutishwa mpakasasa na hakuna mafanikio zaidi ya kuingia Gaza.