Jamaa mmoja alikuwa gesti na demu mmoja,,asubuhi kulipopambazuka kukatokea ugomvi mkubwa baina yao.Mazungumzo yalikuwa hivi:
Demu:Naomba hela yangu
Jamaa:Hela ya nini?
Demu:Unadhani umepata raha ya bure!! Leta hela hapa acha mbwembwe!
Jamaa: Raha tupate wote,halafu hela nitoe mimi,we vipi?
Demu:Nipe hela nipe hela
Jamaa:Kama unafanya biashara nipe risti nikupe hela.
Demu:kimya