Wandugu kama kuna mtu anajua jinsi ya kuongeza OS (operating systeam) ya simu hasa android devices anisaidie mana nimeckia kufanya hyo ki2 inawezekana japo cjampata mtaalam hata mmoja................kwa maendeleo tu kiroho safi