Kama n mwanaume usifanye haya

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
🚨MWANAUME👂

1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele

2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha

3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako
Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌

4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu mtoni kwake

5 - Ukitambulishwa shemeji acha kutaka kuonekana wewe bora kuliko mwana

6 - Kama wewe sio mjomba basi achana na Mashangazi yaliyokuzidi umri👀

7 - Siku zote heshimu hisia zako, Usilale na mwanamke usiemuamini, Kuna makosa ya gharama kubwa kuliko starehe za siku moja

8 - Usitumie hisia sehemu inapohitajika Akili🧠

9 - Tunapambana kila siku lakini mtoaji ni Mungu, Mshirikishe Mungu kwa kila jambo sababu wakati mwingine anasubiri uombe ili upewe👍

Via Neema Wehu

Wajane ruksa hioo n ibadaaaaa
 
Namba 8 imesimama
 
Alamu siku zote ndio tamu eniwei ngoja tujitahidi kuyashinda majaribu
 
Namba moja imekaa kiubaguzi

Mambo ya ubaguzi hayakubaliki katika jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…