watoto ninao wa kutosha.ila sina utani nao kwenye mambo kama hayo.mi adhabu zangu cyo za mchezo nawafungaga kamba juu ya mti nakuwapa kibano kama cha ulimboka.hata nikiwa narudi nyumbani kutoka job nikiwa getini wote sebuleni na madaftari.wanasoma.ndo mana wanafanya vizuri shule.ndugu zangu msiwanyime watoto vipigo ili waende njia sahihi.nyumbani nina minyororo,mikanda,pingu zote kwajili ya kuwapa displine.ukija home watoto wako kama watu wazima.adabu debe