bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Habarini waungwana!
Jana nilikutana na jamaa
yangu mmoja ambaye ni
muhudumu wa afya,
akanipa ofa (si kawaida
yake). Kwa hali hiyo ikabidi
nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya
kumfanyia uchunguzi na
councelling mtoto mmoja
wa form 1 (13yrs) katika
shule fulani ya boarding!
Baada ya kudadisi vizuri zaidi akaniambia kuwa
huyo mtoto amelatiwa na
mtu mzima (possibly mlinzi
wa shule) ila ameambiwa
amfanyie councell mtoto
asije kutangaza (Shiit) ili kuharibu jina la shule hiyo!
Sasa kama mzazi najiuliza
usalama wa watoto wetu
huko mashuleni,
tunawapeleka bado
wadogo sana then inakuwa ni mbali halafu wanakaa
muda mrefu,
Jambo hili limeniuma ndo
maana nikalileta hapa!
Ushauri wangu Kama mzazi,
muangalie watoto wenu, Msijifanye mko biiize
kutafuta hela mpaka
mnawatupa boarding
school wakiwa wadogo
(hata kujitetea hawawezi)
Naandika ikiwa bado nimeumia as if ni mtoto
wangu ndo amefanyiwa
hivo!