SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Jul 13, 2019 #1 Hili ni tukio la kweli kabisa. Cheki video uone jinsi Makomandoo wa Kimarekani walivyokamata nyambizi lililokuwa limesheheni kilo za madawa ya kulevya za kutosha zilizokuwa zikisafirishwa kimagendo katika bahari ya Pacific kutoka nchi ya Mexico.
Hili ni tukio la kweli kabisa. Cheki video uone jinsi Makomandoo wa Kimarekani walivyokamata nyambizi lililokuwa limesheheni kilo za madawa ya kulevya za kutosha zilizokuwa zikisafirishwa kimagendo katika bahari ya Pacific kutoka nchi ya Mexico.
Pablo 119 JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 1,520 Reaction score 1,969 Jul 13, 2019 #2 Kawadi sana ukuona makomando wa kikenya walivyokamata wavuvi
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,383 Jul 13, 2019 #3 Sijaona kigeni hapo