Kama ambavyo mnagawa condoms bure mahospitalini, magesti vivo hivyo mgawe na pedi za bure jamani.
Always pads zilishushwa from 2000tshs to 1500tshs,cha ajabu wauzaji mmeng'ang'ana na kuuza 2000tshs hadi 2500tshs. Hamuoni aibu ile ya label ya 1500 tu mnaificha, dhambi kubwa sana.
Tunataka mgawe pads BUREEEEE kwa females wote makazini, mahospitali , mashuleni etc.
Hatuezi kurudi kwenye zama za matambala tena.
Sisi ni mama zenu,dada zenu,your daughters,aunty zenu etc. Em tufikirieni.
Tena zile local pads za mahospitalin nzuri sana muanze na hizo kugawa bure.