Kama Mimi ningekuwa Dkt. John Magufuli

Kwa nilivyoiharibu Tanzania ningejitoa kwenye huu mchakato wa kumtafuta rais wa Tanzania ili musubi
1. Nipumzike haya Mateso yanayosabanishwa na kazi ya urais
2. Kutoa nafasi kwa nchi hii kupata rais bora
3. Kuwaepusha watanzania wenzangu na dhambi zisizo za lazima pale watakapoamua kunishindisha
4. Kuepuka hii aibu ya kuhutubia watoto wa shule kila siku as if kama nisipokuwa rais nitakufa
 
Ok bse iam in dream ,wait and see,
Hakuna kitu kama hicho kama nyinyi mmejipanga lazima ufahamu na sisi tumejipanga. Hizo njama zenu za kuingiza mamuluki kutoka Kenya zinafahamika. Tanzania tupo vizuri wala usiwe na shaka utawewesekaweweseka wewe na Tanzania utaiacha ilivyo. You are not the only one.
 
Kenge hadi damu itoke masikioni sheikh.
 
Ningejiuzuru, habari gani hizi za kupigishana magoti kana kwamba kazi nilizofanya miaka 5 hawazioni, ningewaachia ccm yao na kuwaambia mtanikumbuka
 
So wabishana na mungu alieumba tz yake ,au kwa sababu uko kwenye kioyoyozi basi wajaua wewe ni Kila kitu juu ya dunia hii, usemapo mmejipanga ,unamanisha nini? Kujipanga kwa lipi? Mungu ndo hupanga na hakuna wakumzuia ,japo huwa twajifariji kwamba mungu hayupo,ila elewa yupo na anaishi , hivyo tafakari ujumbe kwa kina kwake hakuna linalo shindikana atalifanya Leo na kama sio kesho,mungu akupe maisha marefu ipo siku utayaona maajabu yake na utashangaa ,wait and see,
 
Hawezi kuwa na akili hizo mpaka baadaye kigogo atakapokuwa anatafutwa kwa ajili ya the Hague.
 
Siwezi kuwa huyo mimi never
 
Thats your narrative i d i o t !
 
Ningeweka wazi majaliwa ya Ben Saanane
 
Ningekuwa Magufuli ningejitoa kwenye kinyanganyiro maana TL tayari ameshanipiga bao kuendelea na kampeni nijujichoshwa bila sababu. Ona sasa nimeanza k
kupiga magoti mbele ya kadamnasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…