Kama MBOWE sio MESSI basi ni RONALDO

Kama MBOWE sio MESSI basi ni RONALDO

kalichumbage

Senior Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
101
Reaction score
41
CHACHA WANGWE ALIKUFA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA

ZITO AKANUNULIWA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA

LIPUMBA AKASEPA UKAWA IKASIMAMA

AKASAJILI MESI

AMESAJIRI MARADONA

DAH!...hebu taja tukio moja na born town MBOWE ambalo limekufurahisha!!!
 
Mbowe yupo vzur cn n nwananapinduz wa ukwel kaifikisha chadema apa ilipo anatisha sana huyu jamaaa yale makengeza yamejaa ujanja ujanja
 
​yeah mh kweli mtoto wa mjini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbowe anajitambua na Mwenyezi Mungu kampa ujasiri na hali ya kutokata tamaa.
 
Sisi Wana ukawa tutafarijika kama tukifunga usajili kwa Prof. Mwandosya..... Hapo itakuwa hatari sana
 
mbowe karithi akili za baba yake, makongoro karithi nini sijui
 
Mbowe yupo vzur cn n nwananapinduz wa ukwel kaifikisha chadema apa ilipo anatisha sana huyu jamaaa yale makengeza yamejaa ujanja ujanja

Wacha kumu attack,mkuu wewe mbona dental formula yako ni kama una undugu na ngiri bado watu tunakuheshimu?inakuwaje umshambulie mwenzako kwa maumbile yake?
 
CHACHA WANGWE ALIKUFA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA

ZITO AKANUNULIWA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA

LIPUMBA AKASEPA UKAWA IKASIMAMA

AKASAJILI MESI

AMESAJIRI MARADONA

DAH!...hebu taja tukio moja na born town MBOWE ambalo limekufurahisha!!!

Hahahahaaaaa. Wee jamaa wewe!!
 
Wacha kumu attack,mkuu wewe mbona dental formula yako ni kama una undugu na ngiri bado watu tunakuheshimu?inakuwaje umshambulie mwenzako kwa maumbile yake?

Hizi dharau za wanaCCM kwa watanzania zitawaponza sana,october sio mbali.
 
Back
Top Bottom