Kama Mbowe Angekufa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Mbowe Angekufa.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, Jun 7, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kuna kitu nimejiuliza sikupata jibu hebu nisaide, hivi kama ndege iliyomsafirisha Mbowe kutoka Dar kuja Arusha ingepata hitilafu za kiufundi na kuanguka na Mbowe kufa (mikononi mwa Polisi) ni nini kingetoke Tanzania?

  Unajua unapofanya kitu cha "hatari" weka plan B" kama plan A" haitaenda sawa, then unatumia plain B".

  Hebu niambie plan B" ya serikali ingekuwa nini ni wazo tu.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  pasingechimbika bali PANGEFUMUKA FUMUKA, mbona libya cha mtoto!!!!!!!!!
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Mimi najiuliza alipokuwa kwenye ndege alikuwa anaongea nini na hao makachero wa chama tawala? au aliamua kusoma novo tu?
   
 4. m

  mancy Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani tanzania ingekuwa kijiji.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  serikali ilifikiria hivyo?..........
   
 6. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,180
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Wakufikiri athari yuko likizo!
  hatujifunzi ya Rwanda.
   
 7. k

  kimondo Senior Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusingetokea lolote, ameifanyia nini Tanzania kwa kutukuzwa kiasi hicho?alitakiwa aoneshe mfano kama kiongozi kwa kutii sheria na taratibu zilizopo. Ukiwa kiongozi kuna-package ya ustaarabu unaoendana na dhamana uliyopewa. yeye ni kiongozi sio mtoto wa kijiweni alitambue hilo. Siasa itawale siasa na sheria itawale sheria.
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kawaida tu wangapi wamekufa walikuwa na majina makubwa na ulimwengu ukatikisika, na wangapi tuko safarini kwa kuwa kifo tumeumbiwa wanadamu. Ingekuwa ni huzuni kwa kuwa kifo hakizoeleki na mjonzi kwa familia kwa kuondokewa na mpendwa wao na Mbunge pengine kwa kuwa ahadi aliizoahidi hazijatimia, otherwise ni kawaida tu siku ikifika unatangulia wengine hufuata.
   
 9. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ndiyo maana hakufa!
   
 10. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ulinzi ungeongezwa maradufu!
   
 11. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi watanzania tulivyo kama kondoo hakika tungeomboleza msiba tu tukiamini katika methali ya "funika kombe mwanaharamu apite"
   
 12. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Napita 2.
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kwanza ingetolewa habari "kafariki Mbowe na watu watu watano"

  Pangetolewa rambirambi nyingi, nigine zingesoma "marehemu ameacha pengo lisolozibika"

  Halafu uchaguzi ungefanyika kumchagua mwenyekiti mwingine wa CDM!
   
 14. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  kaka hapo kwenye RED usipende sana kufikili ninge, inge nk unapoteza muda
  kwenye maisha ya kawaida hakuna inge, ningefanya nk. unazungumzia kitu kisichotekelezeka.
   
 15. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Utopian
   
Loading...