Kama matapeli basi serikali ni namba moja............................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama matapeli basi serikali ni namba moja.............................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Mar 22, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Katika tukio lililovuta watu wengi DODOMA leo mchana maeneo ya Chang'ombe ni la viongozi wa TANROADS kumdanganya Mkurugenzi wa halmashauri ya Dodoma....watu hawa walipewa kazi ya kuamisha makaburi ya maeneo hayo ambayo ni maarufu sana hapa dodoma kupisha upanuzi wa barabara.Cha kushangaza watu wa TANROADS waliamisha misalaba na kuacha miili ya marehemu ndani ya makaburi...Wananchi walipogundua janja hiyo walifukua kaburi moja kujua ukweli ndipo walipokuta mwili wa marehemu mmoja ukiwa kaburini huku msalaba wake ukiwa umeamishwa...Mkurugenzi halipoulizwa amedai yeye amepata taarifa kuwa miili iliamishwa....je...


  1. Mkurugenzi wa halmashauri anasubiri nini kujiuzulu kama alidanganywa na watu wake wa TANROADS?
  2. Boss wa TANROADS nae anasubiri nini kuomba kumpumzika kwa uhuni huu wanaotufanyia?
  3. JK umeipata hii?
  4. Magufuli usikimbilie kubomoa tu nyumba za watu,naomba waadibishe na hawa watu wako wahuni
  source:mimi mwenyewe live kwenye tukio
   
 2. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Duu, kama ni kweli basi hali sasa inatisha, Tunawaibia hadi marahemu !
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante.
  Liko jibu moja tu. na nimeishalitoa mara nying hapa JF. HATUNA SERIKALI full stop
  Source yako imenifurahisha!
   
Loading...