Kama mama mzazi unasemaje

Haaa haaaa sasa hapo Mkuu MM huyo mamayupo kazini na mwanae halafu anampa hotel yake nadhani ni jambo jema sana ingawa kuna watu husema wazungu huwa hawanyonyeshi watoto wao kuogopa matiti kulala lakini kwa picha hii naona anampa mtoto huduma juu ya chombo.
 
Anatimiza haki ya msingi kwa mtoto wake,na uzuri amesimamisha chombo ili kuepuka ajali isiyo ya lazima,baada ya hapo anaingia mzigoni ili dogo apate mahitaji mengine.safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…